Hatutaki chadema wala magamba humu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatutaki chadema wala magamba humu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakini, Apr 24, 2011.

 1. k

  kakini Senior Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kumekuwa na mambo mengi yakichangiwa kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla, Hii JF si ya chadema wala magamba ila ni ya watu wenye uelewa mpana katika mabo ya siasa na maendeleo ya nchi kwa ujumla kutokana na harakati na sera za CHADEMA members wengi wa JF wamekuwa wakiiunga mkono CHADEMA kwa kuwa chama makini, sera nzuri na watu makini na chama kinachoweza kututoa katika matatizo haya tuliyo nayo kwa sasa ya rushwa na ufisadi..

  Tangu magamba waseme kwamba JF ni ya CHADEMA wengi wanaleta mda za kipuuzi hazieleweki na saa nyingine zinakera nawashauri kama una mambo ambayo hayana mpango wala hayana tija kwa maendelo yetu sote yapeleke kuleeee FACEBOOK kwa wambea wanaoweka picha zao za kipaimara na harusi.....

  kwa hili naomaba mtuachie JF maana wanachadema walio huku wanaonekana wamepevuka kimawazo na wanaongea ishu zenye maendelo ya nci yetu na wanapinga rushwa na ufisadi

  magamba nawashauri muendelee na facebook ndo inayowafaa na mipasho finished
   
 2. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Wenyewe watakuja kukujibu, tafadhali uwe mvumilivu.
   
 3. i

  ibange JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  naona chama cha magamba yaani ccm wameajiri watu wanashinda humu kuitetea ccm. hawatafanikiwa
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Nikweli umesema ila kumbuka humu kuna majukwaa mengi ukiona hapo ulipo hapafai unaenda kwingine!!Siyo lazima uungane nawatu ambao unaona mkotofauti kiitikadi!!
  Pili;
  Kwanini umealalisha kwamba JF ni ya wana chadema makini!!
  Tatu;
  Wewe haufahamu matumizu ya facebook ukiingia kwa undani utajua kuna nini kwenye facebook!
  Nene;
  Kwenye kujenga taifa na uchumi imara uwezi kutofautisha na siasa!!
  Tano;
  Ujue lazima uwemvumilivu na thread za watu kwa tupo tofauti kiupeo hata wewe kunawatu wanaona mawazo yako uliyotoa yana hombwe ila jambo muhimu nikuvumiliana!!.
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  I think wewe mleta mada humu ni mgeni au husomi michango ya wengi humu. Kilichopo humu ni udini tu hamna chochote. niwachache sana enye mawazo pevu, majority ni waifia dini. wewe fungua thread yoyote huko nyuma halafu soma comments za watu. then you will realize the truth. That is why naichukia chadema period.
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Magamba ndio chama gani?
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Umebeba nafsi za wangapi kijana? Kama vile we ni mtoto wa nje ya ndoa unayelelewa na ccm na wamekunyima fulsa za kujitambua! We ni kuuumaa kweli!
   
 8. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  I second your opinion man. Tangu mwanzo mimekuwa nikitahadharisha juu ya JF kutekwa na wakina simbaulanga. Hili limeenda mbali zaidi Chadema yenyewe imetekwa na wanaharakati wa kanisa! Matokeo yake humu wengi wanaunga mkono kila kitu CDM hata ikiwa plain stupidity! Hivi jukwaa hili hatuwezi kuwa mlengo wa kati? Tukapongeza au kulaumu CDM, CUF, CCM nk? TANZANIA FIRST!
   
 9. King junior

  King junior Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inamaana wewe hujui chama kilichojivua magamba hivi karibuni...............? nina wasiwai na wewe kama si Mtanzania, kwa kukusaidia hawa ni sisi em..................!
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Soma kwenye red hapo, Kardinali Pengo ndio amekutuma au nani ? kwani ndio mwenye CDM yake, wengine waliopo ni vibaraka tu wa kupitisha kauli zake
   
 11. hKichaka

  hKichaka Senior Member

  #11
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waache tu hata hao magamba wachangie kwani hawana jipya .Hawana hoja za msingi si unaona hata kule bungeni?
   
 12. Silas Haki

  Silas Haki JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 368
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hasa jamaa fulani (namhifadhi jina lake kwa leo) anaonekana amemilikishwa mgodi fulani na mafisadi, maana kazi yake ni kuja na hoja zisizo na masikio, miguu, kichwa wala mikia kwa lengo la kuonesha unazi wake na chama cha magamba.
   
 13. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ndio wenye dola na mamlaka ya nchi !:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
   
 14. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #14
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Mimi nnaamini tunaweza tukaweka siasa pembeni... Itikadi za vyama pembeni na tuakasukuma gurudumu letu la uchumi ambalo nowadays limekwama...
  kadiri nchi hii siasa inavyozidi kushika hatamu madokta, maprofesa na wasomi mbalimbali wanakimbilia huko na kuacha kusukuma gurudumu letu la maendeleo kutumia elimu walizonazo....
  Kwamfano; Tupo 2011 lakini we can sense that campaign za 2015 zimeshaanza hasa kwenye ngazi ya uraisi... Tunatakiwa kuweka siasa pembeni na tu focus katika maendeleo ya Nchi yetu, 2014 mwishoni ndo tuanze siasa!..
   
 15. kure11

  kure11 Senior Member

  #15
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Well said mkuu!
   
 16. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #16
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mh! kweli ni tatizo. Mkuu ingia kwenye thread zingine hizi za magamba na CDM waachie wenyewe jamani. Kila mtu na upeo wake wa kuelewa.

  Nawakilisha.
   
 17. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #17
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  hawana jipya mzee kazi yao ni kuuza sura tu.
   
 18. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ulianza kama mwenye akili kumbe huna kitu kichwani_topic haifanan na contents
   
 19. tunalazimika

  tunalazimika JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  hapa tulipofika tungepaepuka iwapo mods na invisibles wangekuwa makini_binafs nimekuwa nasisitiza swala la kuepuka ushabik wa din na siasa ndan ya jf kwa kuamin kuwa jukwaa hili limeandaliwa kwa watu makin wenye mambo ya maana kwa jamii kumbe ni mpango maalum kwa ajili ya dini fulan kwa chama fulan_kwa mpango huo mtatukosa Wanaharakat weng tusio na ufahamu wenu_humu ni udini na upambav tu
   
 20. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #20
  Apr 24, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,025
  Likes Received: 8,513
  Trophy Points: 280
  yes,you said it
   
Loading...