Hatuna serikali, sababu nyingine ya kutomwongezea JK awamu ya pili ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatuna serikali, sababu nyingine ya kutomwongezea JK awamu ya pili !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mag3, Jan 20, 2010.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Hii ni serikali au kikundi cha Zecomedy kilichoundwa na CCM baada ya uchaguzi wa mwaka 2005. Kwa mwendo huu hatufiki.
   
 2. Einstein

  Einstein Senior Member

  #2
  Jan 20, 2010
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hahahaha hahaha hahaha ahhahahaha ahhaahah ahahahahaa...
  This is Tanzania..
  Ahsante kwa post hii mkuu.... Tanzania bila kikwete inawezekana..
   
 3. KOMBESANA

  KOMBESANA JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2010
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 862
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wanasiasa wa tz wametufikisha hapa tulipo na kututoa hawataweza!sina maoni tena wajamani lakini tutoke wenyewe bila watu hao yaani wanasiasa.tunaweza hatuwezi?
   
 4. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #4
  Jan 20, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Habari ndio hiyo.
   
 5. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Sasa hapa tuseme Katibu Mkuu wa wizara husika aliidanganya kamati ya Bunge au vipi ? Itakuwaje Chambo aiambie kamati kuwa mkataba utavunjwa halafu waziri wake Kawambwa akanushe kuwa hakuna jambo kama hilo. Hiyo ni serikali au kikundi cha wasanii kikiongozwa na msanii mkubwa ndani ya Ikulu kwani kila siku tunashuhudia mikanganyiko isiyoweza kuelezeka kwa lugha yoyote ile na ikaeleweka.
   
Loading...