Xplorer
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 607
- 857
Serikali ya Tanzania kupitia kwa Katibu Mkuu wizara ya Nishati na Madini Prof Justus Ntalikwa imesema kuwa haina muda wa mjadala na nchi jirani ya Kenya kuhusu swala zima la ujenzi wa bomba la mafuta mazito kutokea Uganda kwenda kwenye bandari ya Tanga.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mkutano wake na wafanyabiashara wa mafuta Prof Ntalikwa amesema kuwa tayari maandalizi ya ujenzi huo yamekalika na ujenzi rasmi utaanza mwanzoni mwa mwaka 2017.
Source: Gazeti la Raia Tanzania.