TAI MWEKUNDU
Member
- Jun 17, 2013
- 5
- 0
Kutokana na matukio ya ugaidi na uhalifu mwingine kuongezeka hapa nchini; je hatuna Intelijensia katika Jeshi la Polisi
na katika Idara ya Usalama wa Taifa? Maana vyombo hivi vya dola vinaowajibu wa kukusanya taarifa mbalimbali za kiusalama kwa lengo la kuzuia matukio mabaya kufanyika. Kitendo cha Polisi na Usalama wa Taifa kushughulikia matokeo ya vitendo vya uhalifu (criminal Aftermath), si uthibitisho kwamba vyombo hivi vya dola vimeshindwa kuwalinda raia na mali zao?