Hatuna haja ya kuwa wajibisha na kuwadharirisha wenyeviti wa Serikali za mitaa

Deogratius Kisandu

Verified Member
Dec 2, 2012
1,335
2,000
HATUNA HAJA YA KUWA WAJIBISHA NA KUWADHARIRISHA WENYEVITI WA SERIKALI ZA MITAA.

Kwanini na sema haya, tangu zamani kumekuwepo mfumo dhaifu katika kuunda serikali za mitaa, mfumo uliopo haumfanyi kufanya kazi bali unamfanya kufanyishwa kazi bila malipo na kujikuta hata wakifoji risti au kupokea rushwa, lakini si kweli kwamba wanafoji ina maana kama wanafoji watendaji wao wa kata na mitaa wanahakiki vipi Stakabadhi hizo? Si kila jambo linalotoka kwa wananchi lina nia njema wakati mwingine kuna maadui wa kisiasa wanataka kumuangusha Mwenyekiti fulani.

Ni na uzoefu mkubwa sana na utendaji wa serikali za mitaa japo sijawahi kuwa idara hiyo, kuna hitajika mbinu mpya ya kiutendaji kupitia TAMISEMI, hasa kunyetisha ufanisi wake. haihitaji elimu kuboresha Utendaji wa Serikali za mitaa bali hekima ya Kimungu tu. Kutosoma mapato na matumizi sio kosa lao bali ni kosa la kimfumo tangu awali, kama watu hawajakumbushwa majukumu yao unategemea wao watafanya nini? Je, ofisi zetu za wakuu wa Wilaya na wakuu wa Mikoa wanasoma mapato na matumizi hadharani au tuna bipiana akili?

Mimi ni msomi napenda sana maendeleo yakinifu ila sipendi viongozi wababaishaji kwa kufata kick za Nitoke vipi ili niheshimike badala ya kujenga muundo mpya.

Mimi ni yule yule; DEOGRATIUS NALIMI. I. KISANDU.
MWAFRIKA KUTOKA TANZANIA.
24 Nov 2016.
 
Tyrone mofekeng

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
698
1,000

Msomi unawadhaRIRIsha sana wasomi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom