Hatuna coordinated planner wa maendeleo Tanzania.

ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
4,324
4,033
Nimekuwa mtu wa kupenda kupita na kujionea hali halisi ya vivutio tunavyo vitaja kwenye vinywa vyetu Tanzania.
Kuna siku moja niliamua nipite mbuga ya saadani kujionea na kutokea huko pangani .Kwa masikitiko makubwa naomba niseme tu ubovu wa njia ni kikwazo.hakuna njia ya kueleweka na inakadiliwa ni km 100 kufika pangani.

Pamoja na mambo mengine lakini ili eneo lipate mapato ya wanaotaka kuwahi pangani kwenda Tanga na watalii wa ndani basi waboreshe walau kiwango cha kokoto cha kudumu au lami.
Tuna shangaa kutokujengwa vizuri na kuipa promo ya kutosha hii hifadhi na mbuga ya wanyama iliyoshikamana na ufikwe wa bahari.
Na mbaya zaidi upande wa pangani ndio kubaya kabisa yaani wilaya nzima ina 1KM ya lami!!!!!
 
Back
Top Bottom