Hatumtambui JK!


Expedito Mduda

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Messages
375
Likes
30
Points
45
Expedito Mduda

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2009
375 30 45
Ni sahihi kabisa kutomtambua rais aliyeingia madarakani kwa kuiba kura! Leo wakati wa kuapishwa waziri mkuu, kumekuwa kuna maoni mbalimbali eti CHADEMA kususia HOTUBA za JK sio vizuri.
WATANZANIA, achane hayo. Tuache demokrasia ichukue mkondo wake. Kama kuna tetesi au ukweli kwamba kura zilizompeleka rais ikulu si zile zilizotolewa na wananchi, basi ni vema tusubiri kama kuna tume itaundwa ione ukweli wa jambo!
TANZANIA yetu ijue kuwa hakuna AMANI pasipokuwa na HAKI. Haki huwa ni precursor wa Amani.
Maamuzi ya wananchi sharti yawe ndo maamuzi na kama yanadharauliwa, basi lazima kwa kweli wananchi wasikubali kabisa na hapo demokrasia itashamiri.
 

Forum statistics

Threads 1,239,108
Members 476,369
Posts 29,342,833