Hatumtaki James Millya Arusha Mjini: Tunasema NOOO, big NOOOO. Take note Mh: Godbless Lema

Wana sheria hawana tofauti na mwanamke anayenunuliwa: ukimpa pesa umekuwa wake na waliokuwa naye anawatukana. Ole Millya ni muhimu sana kwa CDM maana anajua siri nyingi za CCM mtumieni vizuri awape mbinu na najua ataanza rasmi kuitukana CCM na kuibeba CDM halafu pia wanaosema yeye ni Pro EL sawa wekeni ushahidi! Lakini pia kama kwa wasiojua siasa, nawahakikishia hata EL angehamia leo CDM wamkaribishe maana atasaidia kubomoa CCM.....Utashangaa kusikia EL anasema Serikali ya CCM iliiba pale, ilighushi hapa niliishauri pale ikakataa....yote haya tunayahitaji mwisho wa siku akitaka kura tutamwangalia kama anatufaa....lakini kwasasa mchango wake muhimu kwa upinzani wowote iwe NCCR, CUF, CCK na hata chama tunachotegemea kuanzishwa na wana CCM kadhaa karibuni.
 
people change.
he might be a mole, he might have honestly switched sides.
As Arusha resident, Milya has witnessed a wind of change.
What if he has been, beyond reasonable doubt, swayed by the wind?
Hata hivyo najua kuwa hakuja kwa ajiliya jimbo la Arusha ila ana jukumu la kuhakikisha kuwa anamwondoa Christopher Ole Sendeka Simanjiro..Aminini kuwa hata Lowassa anaweza kubadilika na kuwa mtu mzuri sana,,shetani tu ndiye hawezi kubadilika
 
inabidi kufanya win win situation........aungane na LEMA kwenye chopa ya kuzindua watz nchi nzima kwanza then mambo mengine baadae............
 
Atakuwa mwanachama wa Kawaida tu, take it from me, CDM wako makini kuliko unavyodhani.
Ila nimeguswa sana na hisia zako Mkuu F
 
Ndugu shukrani kwa changamoto zako ulizofafanua,mimi binafsi ninamfahamu Millya na nilikuwa naye kabla haja kuwa kiongozi wa uvccm na nikapoteana nae niliporudi ndio nikakuta ameingia kwenye siasa,hata mimi naona Milya asigombee nafasi ya kumrithi Lema,watafutwe watu wengine ambao tayari walikuwa kwenye chama na wana uzoefu.Milya atakuwa mzuri sana kugombea ama monduli au simanjiro 2015 na anao watu wengi sana kwenye jamii ya wamasai,ikumbukwe chadema bado haina ngome imara katika jamii ya wamasai,na ni jamii inayo hitaji elimu sana,hasa ikizingatiwa baadhi yao hawajui kusoma wala kuandika.Japokuwa mimi sio mkabila ila chadema inakubalika kwenye dola za wameru,wachaga,wakurya,wasukuma,wa iraq,watu wa mbeya na jamii ya watu wa mjini kwenye miji yenye wasomi wengi kama Dar centre-ubungo,kawe,segerea,Iringa na baadhi ya sehemu chache sijazitaja kama jamii ya kigoma n.k
Lakini Bado kuna maeneo bado watu hawana uelewa sana na chadema na hawajui jinsi ya kuitoa CCM,wamasai,wagogo,watu wa pwani,yaani lindi,mtwara,pwani, na maeneo yaliyo athiriwa na usultani kama Tabora,Zanzibar na Tanga.Maeneo mengine upepo unaweza badilika saa yoyote kama moro,ruvuma, njoluma,katavi sumbawanga,na singida
Kwa hiyo kwa mawazo yangu mi naona Milya atasaidia kwenye jamii ya kimasai na Chadema wanakazi ya kufundisha demokrasia,hasa kipengele cha kupiga kura na kulinda kura na kutafuta njia stahili ya kusimamia kura za uraisi.wanaweza wakalinda kura za wabunge wakasahau kura za urais!!!!

I like it...umechambua vizuri sana, nakuomba ufanye mkakati 2015 tukupigie kampeni uchukue jimbo....welll said and the bing LIKEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.....
 
Hata hivyo najua kuwa hakuja kwa ajiliya jimbo la Arusha ila ana jukumu la kuhakikisha kuwa anamwondoa Christopher Ole Sendeka Simanjiro..Aminini kuwa hata Lowassa anaweza kubadilika na kuwa mtu mzuri sana,,shetani tu ndiye hawezi kubadilika

Je ni kweli kifikra amebadilika au ameenda Chadema baada ya kuona ccm wamekuwa wakimtosa?hata kama Millya anapewa benefit of doubt hastaili kupewa bendera ya chadema for simanjiro 2015 ,apewe majukumu ya kujenga chama kwanza ili tuendelee kumwelewa
 
Nina wasiwasi sana na huyu jamaa.Nitamwamini pindi atakapoanza kuifanya kazi atakayopewa na CDM.
 
Dear CDM leaders, We have a new hope through you after 50yrs of CCm leadership which we have witnessed burrying us live.

Take my advise,

  • Milya should not be given any leadership and he must understand CDM is not vyeo kupeana business like Magamba, but he should be in the front line particularly to fight against Ufisadi, etc.
  • Milya must be questined seriously that what does he expect from CDM?, If he expect position, leadership basi mpe live kuwa kakosea njia.
  • Huyu jamaa hakafuata cheo baada ya kuona Magamba wamemmwaga??????
  • Hakikisha mnaupata uhusiano wake na mzee wa 'mamvi' fika throught out uwepo wake ndani ya CDM. Ikiwezekana chunguzeni vizuri target yake ni nini hasa?????
 
Wazazi hiki si chama cha demokrasia na maendeleo mbona marandu kaja kapewa chumba,prof safari kapewa chumba mtu mzima millya mnataka kubana kaka millya vuta form nafasi ikitokea twende kazi
 
Naomba nipingane na wewe kuhusu suala la Lema kutembea naye nchi nzima.....kwa mtizamo wa kisiasa hii ni shoka muhimu sana kwa kuangusha mti wa ung'ang'anizi kwa CCM,walionao jamii ya wengi hapa nchini.....kutoka kwake CCM na sababu za kutoka huko,zitahamasisha mamia ya wapiga kura kupoteza imani na CCM pia....wanachopaswa ni kumfunza vyema itikadi, falsafa na katiba ya chama naye awafunze wengine ambao bado hawajaelewa tofauti ya CCM na CDM....Kuna watu wengi hasa wa vijijini hupenda kuamini kupitia mtu kama huyu.....hata musoma mtu wa kutoka familia ya Nyerere ni fimbo iliyogeuza upepo kuhusu perception ya wananchi kwa CDM.....but kupewa nafasi ya kugombea....hapo nakuunga mkono mia kwa mia!
 
Milya Hawezi kusimama Ubunge Ar hata miaka 10 ijayo mkuu, beleive me, believe me, believe me. CDM ni chama makini mtihani aliotupa shibuda tumeufaulu so Mwambie Farao tumeokoka, hatutarudi Misri Kamwe. CDM MWENDO MDUNDO.
 
Yap I congratulate all who commented on Milya's arrival at cdm. Kimsingi napenda kumshauri bwana milya atueleze nia hasa ya kuhamia kwetu - cdm. tunajua he has been extremely loyal to his uncle/father whatever we may call him, lakini he (Milya) has not shown the crowd of cdm whether he going to be loyal to our precepts. Hivi wapendwa, tusijaribu kabisa kkumpa nafasi ya kugombea katika jimbo la arusha mjini katika uchaguzi huu mdogo ( nasema haya ikiwa wale wanyima haki watafanya kazi yao kama tulivyotonywa na vijana wao wa karibu) NAPENDA KU SHARE NANYI KUWA KUNA MANENO YAMEIBUKA HAPA ARUSHA KWAMBA HUU NI MPANGO WA HALI YA JUU WA SSM KUHAKIKISHA WANALIKOMBOA JIMBO LA ARUSHA MJINI. MILYA NI CHAMBO TU, ATAOMBA AGOMBEE, TUMPIGIE KAMPENI KISHA SIKU MOJA KABLA YA UCHAGUZI ATATANGAZA KUJITOA CDM HIVYO KUWAACHA WANANCHI KATIKA TAHARUKI NA KUTOAMINI HADI WATAJIKUTA WANAMPIGIA TU KURA AMBAZO BAADAE ZITAHESABIKA KUWA ZIMEHARIBIKA. HIVYO KWA MWANYA HUO KWA KUWA VYAMA VITAKAVYOKUWA VINACHUANA NI VIWILI TU YAANI MAGAMBA NA CDM BASI MGOMBEA WA MAGAMBA HATA AKIPATA KURA ELFU MOJA ATAKUWA AMESHINDA KWANI ZILE ZA MILYA ZITAKUWA ZIMEHARIBIKA. HIZI NI KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA NDANI ZA VIJANA WA KAZI ZA MAGAMBA. TAKE CARE CDM,

KAMA MILYA NI MWADILIFU NA AMEUNGAMA DHAMBI ZAKE ZA UGAMBA, BASI ASUBIRI 2015 TUTAKAPO MSIMIKA KATIKA JIMBO MOJA LA UCHAGUZI (SIO ARUSHA MJINI HATA HIVYO) ILI AONGEZE NGUVU. NIMEPITA MITAANI NA KUSIKIA WENGI WAKIPENDEKEZA KWAMBA MILYA AVUMILIE 2015 TUMPELEKE DODOMA MJINI, AU IRAMBA MAGHARIBI ( KWA MWIGULU NCHEMBA) ILI AKATUREKEBISHIE MAMBO HUKO. ASIMWOGOPE MTUNZA HAZINA NGUVU YA WENGI NI NGUVU YA MUNGU.
PENDEKEZO LINGINE; ATUELEZE KIUNDANI JE KUJIENGUA MAGAMBANI SI KWA AJILI YA HASIRA YA KUENGULIWA NA CHAMA CHAKE MAPEMA KATIKA UTEUZI WA NANI AWAWAKILISHE MAGAMBA EALA? (UWAKILISHI KTK BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI) AWE WAZI KUSEMA ASIJE AKAWA ANALIPA KISASI, TUNATAKA ATUHAKIKISHIE KWAMBA AMEWATOKA MAGAMBA KWA KUWACHOKA KIUKWELI NA SI KINAFIKI MAANA HUKU CDM SISI HATUVUMILII UNAFIKI.

OTHERWISE ALL THE BEST - KARIBU IRAMBA MAGHARIBI, DODOMA MJINI, SHINYANGA MJINI, TABORA MJINI, UKISHINDWA SANA NJOO BARIADI MAGHARIBI.
 
Mkuu Stein, you are right but that does not mean wana CDM watampigia yeyote atakayesimamishwa na chama. Kwa taarifa yako Lowassa ni hatari kama CCM na tunampinga yeye kama tunavyowapinga wezi wengine na chama chao. I have nothing to do with Nape, nilikuwa na matumaini na huyu kijana (Nape) kabla hajapewa nafasi ndani ya chama ila kwa sasa I'm deeply dissapointed na sidhani kama CCM kwa sasa inaweza kutoa kijana wa maana.

Ni chama kilicho njiani kuelekea kaburini.

Frank m, naomba nisikilize kidogo, kuna tatizo moja letu sisi watanzania wote ambao tumejikuta tumekuwa limbukeni na ni watu wa kushoboka tu, haingii akilini leo hii CDM wameamka na kumshobokea Millya ati ilimradi tu he has quited CCM. Chadema ina hubiri kupambana na Ufisadi lakini leo imedhihiridha kwamba wana tafuta the so called CHEAP POPULARITY, Sikutegemea kwamba CDM wanapinga Ufisadi lakini wako tayari kuungana na Mafisadi it is an antagonistic way of thinking among us. That is confusing. Majukwaani tunaimba kupinga ufisadi leo tunashangilia kumpokea Fisadi ati kwa vile yeye anatumika tu na fisadi mkubwa Edward Lowassa. Shame! shame kwa wote mnaoshabikia. Mwisho mtakusanya wale wote mliowaita mafisadi ili mradi tu wametoka CCM, na Mwisho basi tujiandae kufanya sherehe kubwa kumpokea mzee mzima Edo. Chadema katika hili siwaelewi na sita waelewa!
 
Yap I congratulate all who commented on Milya's arrival at cdm. Kimsingi napenda kumshauri bwana milya atueleze nia hasa ya kuhamia kwetu - cdm. tunajua he has been extremely loyal to his uncle/father whatever we may call him, lakini he (Milya) has not shown the crowd of cdm whether he going to be loyal to our precepts. Hivi wapendwa, tusijaribu kabisa kkumpa nafasi ya kugombea katika jimbo la arusha mjini katika uchaguzi huu mdogo ( nasema haya ikiwa wale wanyima haki watafanya kazi yao kama tulivyotonywa na vijana wao wa karibu) NAPENDA KU SHARE NANYI KUWA KUNA MANENO YAMEIBUKA HAPA ARUSHA KWAMBA HUU NI MPANGO WA HALI YA JUU WA SSM KUHAKIKISHA WANALIKOMBOA JIMBO LA ARUSHA MJINI. MILYA NI CHAMBO TU, ATAOMBA AGOMBEE, TUMPIGIE KAMPENI KISHA SIKU MOJA KABLA YA UCHAGUZI ATATANGAZA KUJITOA CDM HIVYO KUWAACHA WANANCHI KATIKA TAHARUKI NA KUTOAMINI HADI WATAJIKUTA WANAMPIGIA TU KURA AMBAZO BAADAE ZITAHESABIKA KUWA ZIMEHARIBIKA. HIVYO KWA MWANYA HUO KWA KUWA VYAMA VITAKAVYOKUWA VINACHUANA NI VIWILI TU YAANI MAGAMBA NA CDM BASI MGOMBEA WA MAGAMBA HATA AKIPATA KURA ELFU MOJA ATAKUWA AMESHINDA KWANI ZILE ZA MILYA ZITAKUWA ZIMEHARIBIKA. HIZI NI KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA NDANI ZA VIJANA WA KAZI ZA MAGAMBA. TAKE CARE CDM,

KAMA MILYA NI MWADILIFU NA AMEUNGAMA DHAMBI ZAKE ZA UGAMBA, BASI ASUBIRI 2015 TUTAKAPO MSIMIKA KATIKA JIMBO MOJA LA UCHAGUZI (SIO ARUSHA MJINI HATA HIVYO) ILI AONGEZE NGUVU. NIMEPITA MITAANI NA KUSIKIA WENGI WAKIPENDEKEZA KWAMBA MILYA AVUMILIE 2015 TUMPELEKE DODOMA MJINI, AU IRAMBA MAGHARIBI ( KWA MWIGULU NCHEMBA) ILI AKATUREKEBISHIE MAMBO HUKO. ASIMWOGOPE MTUNZA HAZINA NGUVU YA WENGI NI NGUVU YA MUNGU.
PENDEKEZO LINGINE; ATUELEZE KIUNDANI JE KUJIENGUA MAGAMBANI SI KWA AJILI YA HASIRA YA KUENGULIWA NA CHAMA CHAKE MAPEMA KATIKA UTEUZI WA NANI AWAWAKILISHE MAGAMBA EALA? (UWAKILISHI KTK BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI) AWE WAZI KUSEMA ASIJE AKAWA ANALIPA KISASI, TUNATAKA ATUHAKIKISHIE KWAMBA AMEWATOKA MAGAMBA KWA KUWACHOKA KIUKWELI NA SI KINAFIKI MAANA HUKU CDM SISI HATUVUMILII UNAFIKI.

OTHERWISE ALL THE BEST - KARIBU IRAMBA MAGHARIBI, DODOMA MJINI, SHINYANGA MJINI, TABORA MJINI, UKISHINDWA SANA NJOO BARIADI MAGHARIBI.

Nakuunga mkono Patriq lakini nakuongezea tu kwamba Mafisadi ni sawa na Shetani, hawatakiwi kukaribishwa hata kidogo. Wanatakiwa waishi mtaa wao peke yao. CDM kwa kufanya hivyo ni sawa na kula matapishi.
 
people change.
he might be a mole, he might have honestly switched sides.
As Arusha resident, Milya has witnessed a wind of change.
What if he has been, beyond reasonable doubt, swayed by the wind?

Then he is not worthy to cdm contestant how do someone change over night?thats means he dont beleive in anything,just awaiting swayed by the wind
 
Ndugu shukrani kwa changamoto zako ulizofafanua,mimi binafsi ninamfahamu Millya na nilikuwa naye kabla haja kuwa kiongozi wa uvccm na nikapoteana nae niliporudi ndio nikakuta ameingia kwenye siasa,hata mimi naona Milya asigombee nafasi ya kumrithi Lema,watafutwe watu wengine ambao tayari walikuwa kwenye chama na wana uzoefu.Milya atakuwa mzuri sana kugombea ama monduli au simanjiro 2015 na anao watu wengi sana kwenye jamii ya wamasai,ikumbukwe chadema bado haina ngome imara katika jamii ya wamasai,na ni jamii inayo hitaji elimu sana,hasa ikizingatiwa baadhi yao hawajui kusoma wala kuandika.Japokuwa mimi sio mkabila ila chadema inakubalika kwenye dola za wameru,wachaga,wakurya,wasukuma,wa iraq,watu wa mbeya na jamii ya watu wa mjini kwenye miji yenye wasomi wengi kama Dar centre-ubungo,kawe,segerea,Iringa na baadhi ya sehemu chache sijazitaja kama jamii ya kigoma n.k
Lakini Bado kuna maeneo bado watu hawana uelewa sana na chadema na hawajui jinsi ya kuitoa CCM,wamasai,wagogo,watu wa pwani,yaani lindi,mtwara,pwani, na maeneo yaliyo athiriwa na usultani kama Tabora,Zanzibar na Tanga.Maeneo mengine upepo unaweza badilika saa yoyote kama moro,ruvuma, njoluma,katavi sumbawanga,na singida
Kwa hiyo kwa mawazo yangu mi naona Milya atasaidia kwenye jamii ya kimasai na Chadema wanakazi ya kufundisha demokrasia,hasa kipengele cha kupiga kura na kulinda kura na kutafuta njia stahili ya kusimamia kura za uraisi.wanaweza wakalinda kura za wabunge wakasahau kura za urais!!!!
very right
 
Msimamo wangu juu ya Edward Lowassa na watu wake wote unafaahimka wazi. One of such people ni James Millya. Yes amehamia CDM lakini swali langu ni je atakuwa mwaminifu zaidi kwa Edward Lowassa au CHADEMA? Akiwa CCM alijiainiasha kama mtu aliyekuwa tayari kufanya chochote alichoagizwa na Edward!

Hofu yangu ni kuwa baada ya kubaini hawezi kuweka mbunge kupita CCM (alishindwa kwa Batilda, akashindwa kwa Sioi) sasa amebaini njia pekee ni kupitia CHADEMA! Hivyo Millya avuke huku awe mbunge wa Arusha mjini kupitia CDM.

CDM chama kilichojiainisha kupambana na ufisadi kamwe kisikubali kuingia kwenye mtego huu. Tunafahamu Millya amekuja na mamilioni kadhaa ambayo si yake, tunajua yalipotoka, tunajua nia yake. Mh Mwenyekiti Freeman Mbowe tumeona tamko lako jana kumpokea James, nafahamu umezungukwa na watu wanaompigia debe Millya kwa sababu mbali mbali na wengine wamekuwepo kwenye chama kwa muda mrefu na unawaamini. Ninapata hofu kubwa you are being misled on this. CDM Arusha na watu wa Arusha kwa ujumla tutamkataa James Millya kama atasimamishwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CDM kama tulivyomkataa Mama Buriani tukifahamu fika ni nani kamtuma.

Mh Goodbless Lema, usijaribu kumbeba Millya, ngoja tukuambie wazi, tunakuheshima sana na tumekupigani wewe (tumekipigania chama chetu) vile ulibeba bendera ya chama. Ukisimamishwa baada ya rufaa tutakupigania wewe tutakipigania chama chetu. Ukimleta James Millya (iwapo mahakama itakuzuia kugombea) tutamkataa yeye na jua fika your credibility will be eroded! na hiki kitakuwa kifo chako cha kwanza kisiasa, of course in "politics one can die many times"

Kama tumekose kwa namna tunavyomwona Millya, fine give us time tujionee kuwa Millya amebadilika na si yule wa Lowassa. Tutahitaji muda kujiridhisha kuwa kweli yupo loyal to the course, yupo loyal to CDM na kweli ameachana na baba yake Lowassa. Msituletee sasahivi kwenye ubunge,

Chonde! chonde! chonde!

Nafikiri upunguze mihemuko chadema siyo kama unavyoifikiria, wana busara na hekima. Chadema arusha inao watu wanaofaa kuwa wabunge kupitia chadema siyo aliyehamia jana chadema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom