Hatulali chumba kimoja!!

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Ni miezi sita sasa huyu mpenzi wangu tangu aanze hii tabia ya ajabu, kama yuko chumbani nikitaka kulala anahamia chumba kingine, nikimfata huko anakwenda kulala sebuleni, sina raha, sina wa kuongea nae,mpaka nimvizie kalala fofofo ndio nijisogeze nilale pembeni yake na akishtuka tu anahama kwingine,nikumuuuliza sababu zinakuwa nyingi lakini hazina msingi, kama mnavyojua raha ya kulala sharti usikie mapigo ya moyo ya mpenzi wako. Wana JF nawaombeni mnipe ushauri wa kina nini cha kufanya ili niondokane na hili balaa?
 
Kumbe ni bwabwa jina tu pole sana.
Inaelekea kuna communication break down kati yenu na pengine kikwazo ni wewe na hivyo afanyavyo mpenz wako ni namna ya kukonvey a message. Hivyo wewe inapaswa ushuke chini sana halafu ujenge mazingira ambayo yatamfanya afungue japo dirisha na wewe itabidi umsikilize na usiwe defensive[hulka yetu ni kuwa we are always right even when we are wrong] she will open up.
Tatizo letu TMK ni kuwa we are not good listerners na tunadhani kuwa tuna majibu ya kila kitu but when it comes to relationship it is supposed to be a two way street
 
hebu sema hizo sababu nyingi zisizo na msingi ni kama zipi?
 
binti wa pangani

Unatuchanganya hapa BWABWA, kwani BWABWA ana kuwa na mpenzi wa kiume au wa KIKE?
icon8.gif
icon8.gif
 
inawezekana akawa na mpenzi wa kike tofauti ni......hebu bwabwa thibitisha hapa
lets call a spade, a spade... wewe kama mwanadada ungeweza kulala na bwabwa? knowing kwamba limeshapokea mjenenge huko tIGO halafu likukumbatie all through the night?? naamini hata kama angekua amepiga nyumba ndogo ukigundua huwezi kulala nae kwa raha, sembuse punga?
 
sasa unategemea nini na wewe bwabwa ndugu yangu? au umeacha?

Unatuchanganya hapa BWABWA, kwani BWABWA ana kuwa na mpenzi wa kiume au wa KIKE?
icon8.gif
icon8.gif

Bwabwa alisema yeye ni mwanume rijali ila tu hilo jina alipewa utotoni kwa kuwa alipenda sana kula ubwbwa
yaani hata kama umepikwa kwa jirani basi anahamia huko.......
 
hebu sema hizo sababu nyingi zisizo na msingi ni kama zipi?
ni swali zuri....yaani anaweza kuniambia anasikia joto tukilala pamoja, au usiku mimi eti najamba jamba wakati sijambi na sio kweli
 
Bwabwa alisema yeye ni mwanume rijali ila tu hilo jina alipewa utotoni kwa kuwa alipenda sana kula ubwbwa
yaani hata kama umepikwa kwa jirani basi anahamia huko.......

Nah... alianza na yale mastori ya kipunga baada ya kubanwa ndio akaanza ku-succumb kwenye unyanyapaa...

To me, he is still punga aisee, labda abadili jina
 
lets call a spade, a spade... wewe kama mwanadada ungeweza kulala na bwabwa? knowing kwamba limeshapokea mjenenge huko tIGO halafu likukumbatie all through the night?? naamini hata kama angekua amepiga nyumba ndogo ukigundua huwezi kulala nae kwa raha, sembuse punga?

hapo ni ngumu kujua sio rahisi kwa wewe mhusika kufahamu na hata kama kuna watu wanajua kama jamaa anapembuliwa ni ngumu kukuambia...kuna watu wengi sana wameolewa na mabwabwa na hawajui
 
hapo ni ngumu kujua sio rahisi kwa wewe mhusika kufahamu na hata kama kuna watu wanajua kama jamaa anapembuliwa ni ngumu kukuambia...kuna watu wengi sana wameolewa na mabwabwa na hawajui
absolutey right.....ahsanta preta...naona De novo amenishikia bango
 
hapo ni ngumu kujua sio rahisi kwa wewe mhusika kufahamu na hata kama kuna watu wanajua kama jamaa anapembuliwa ni ngumu kukuambia...kuna watu wengi sana wameolewa na mabwabwa na hawajui
nakubaliana na wewe... na inawezekana huyo mamsapu wa pangani keshagundua ndio maana anakaa mbali na mashuzi!
 
absolutey right.....ahsanta preta...naona De novo amenishikia bango

kakaushikia bango nini
yaani unataka ukapembuliwe chuya huko afu urudi home ujifanye mume??
kwa taarifa yako wengine instincts zetu si mchezo
mkeo kashtukia kitu.......wee kaendelee kupepetwa chenga tu huko basi!!!
 
Quote:

ni swali zuri....yaani anaweza kuniambia anasikia joto tukilala pamoja, au usiku mimi eti najamba jamba

De novo hivi wewe hujambi?? kuna mtu asiojamba?? nimesema kuwa ni kisingizio
na sio kweli kama najambajamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom