Kama kweli wewe ni nguli wa habari basi nenda magerezani ukatuletee habari kamili juu ya hayo uliyosema masheikh wale walitendewa ili mwisho wa siku wakuu wa vyombo hivyo washitakiwe kwa kukiuka haki za binadamu!Wewe utakuwa siyo mfuatiaji wa Mambo. Usibishane na nguli wa habari. Hawa mashekhe washalalamika mara kibao juu ya hili. Na hata kulikuwa na mwito wa mashekhe wenzao wakilalama juu ya hili. Rejea hata comment na 48 hapo juu
Ulivyoandika ni kama unayafurahia hayo matendo ambayo ni kinyume Cha Sheria na ni kinyume Cha utu kwani matendo Yale siyo sehemu ya hukumu kwa mfungwa Wala mahabusu!
Eti mwandishi nguli nakosea?