Hatukubaliani na maamuzi ya kidikteta ya "prof mkandala" vc "udsm" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatukubaliani na maamuzi ya kidikteta ya "prof mkandala" vc "udsm"

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by bampami, Dec 15, 2011.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  -Habari ya sasahivi wana Jf na watanzania.Poleni na hongereni kwa kazi za kujenga taifa. Ni matumaini yangu wengi wetu kama siyo wachache mmesikia kuhusu kufukuzwa chuo kwa wanachuo takribani 51.
  $iyo siri imebaki gumzo la masikitiko na huzuni kwetu kama wanachuo.Toka asubuhi kila kona ya UD ilijaa stori za hapa na pale watu wakizunguamzia maamuzi ya kidikteta yaliyofanywa na hawa viongozi.

  Ndugu wanaJf na watanzania wenzangu, napenda kuwapa ukweli halisi wa jambo hili na kwanini maamuzi haya yatokee? Ikizingatia kuwa toka ishu inaanza nlikuwa nikiripoti japo kwa sehem ya kile kilichoendelea.

  Ni wiki ya pili sasa toka minong'ono ya kuwepo kwa mgomo hapa Udsm.
  Hoja za msingi zilikuwa:
  1> kucheleweshwa kwa boom.
  2> kushinikiza kurudishwa kwa wenzetu walokamatwa siku ya maandamano.
  Utata katika hili ulikuwa hivi siyo wote waliokamatwa warihusika kwanamna moja ama nyingine
  KIUKWELI MAAMUZI HAYA YAMESABABISHA NIDHAM YA WOGA kwa wanauD,wanaudsm topepoteza haki yetu kuwatetea wenzetu,
  kiukweli kila mtu anaogopa hata kuongelea swala hilo kw a kuhofia kuongezwa kwenye orodha.
  SWALI:
  1> TUTABAKI NA MATATIZO YETU MIOYONI MWETU KWAKUHOFIA KUFUKUZWA MPAKA LINI?!
  -Ni hayo tu wanajf na watanzania wenzangu naomba mjue huu ni udikteta wa hali ya juu.

  Nimeripotia hall 5 rum no,,
  mimi bampami wa jfff.
   
 2. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  bunge la daruso likae libaliki au lilaani afu kama kawa peke yangu nagoma.
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  washakuona wanaintelijensia.
  Kesho ngoja Mzee Mathias akabandike tangazo pale cafeteria linalosemomeka
  FOLLOWING STUDENTS SHOULD COME TO AUXILLIARY POLICE TO COLLECT THEIR IMPORTANT DOCUMENT
  1. bampani ibn JF
  2. Senetor
  3. Clemmy
  4. Andare
  5. Mphamvu
  6. Only83
  7. Mabulang'ati (huyu nae ni mwanaintelijensia, utawala ushamtumia ila utamdampo kama used condom)
  8. menyidyo
  9. ...
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  DARUSO hakuna bunge pale.
  Trust me, wao wenyewe hawajapewa posho hata ya kikao kimoja tangu kuapishwa kwao, zaidi ya buku 5 ya nauli waliyopewa ile siku ya induction seminar pale Council Chamber, labda na ubwabwa walioambulia kwenye University fundraising pale Mlimani City. Kwa wajumbe wa USRC ajenda muhimu kwao ni elfu 50+ wanazodai za vikao walivyokaa, eh, nilitaka nisahau,
  kuna tetesi nilizisikia kuwa walitakiwa warudishiwe elfu 60 kila mmoja kama expenses za kampeni, sijui kama wameli-adress hilo.
  I wonder Spika wa USRC lile shavu amelitoa wapi?
   
 5. G

  Gud gud Member

  #5
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole zao waathirika,Hi sekta ya elimu viongozi husika ni wanyanyasaji no 1.Huu uthubutu wa kukatisha ndoto za watu kwa issue za kijinga sijui utaisha lini? Haya mambo yamezidi kuanzia mashuleni mpaka vyuoni.yaani kila mtu anataka kuonyesha umuhimu wake kihivyo
   
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  hapo namba mbili,ni ngumu sana kwa wao kunidaka mkuu.
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  jipe moyo mkuu, ila wakiamua wanaweza.
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  tumeamua wenyewe kusalitiana. Ni ngumu sana kupata detail zote za mtu.
  Ila wao wanazo, jiulize ni nani huwapa kama si wenzetu wa karibu?
   
 9. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Msikate tamaa na kuwa waoga kivile kisa tu hizo defender za FFU zilizopiga kambi hapo,kinukisheni sisi tutawasaidia teknolojia ya kutengeneza mabomu ya petrol na juhudi za kuwaomba NATO waje na zile ndege zao kuwapa kampani tutaziratibu
   
 10. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  Sasa kila mtu kimyaaa, sasa hivi hata kuongea tu habari ya mgomo issue
  Mkandala nomaa
   
 11. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,854
  Likes Received: 1,295
  Trophy Points: 280
  Sasa kila mtu kimyaaa, sasa hivi hata kuongea tu habari ya mgomo issue
  Mkandala nomaa
   
 12. Mbayuwa2

  Mbayuwa2 Member

  #12
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Una haki ya kuuliza na kulalamika mwana JF mwenzangu. Tunavyoijua UDSM, mimi nimekaa hall one pale, floor ya tatu, sitaki nizungumzie vyoo wakati maji hamna. Ila cha msingi hapa mi naona kuna bifu zito kati yenu na utawala wa chuo, pia na utawala wa serikali iliyoko madarakani. Ndiyo tulizomea wakati wa jamaa akipewa degree baada ya kusema '' Kumbe mtu anaweza KUPEWA degree hata kama hajaenda shule?" Yaani hujakaa mdegree wala vimbweta vyake lakin unapewa degree, hujapanda na kushuka ngazi za utawala bulding for 4yrs lkn unapewa degree, huajenda hata auxiliary mara moja, lecture theaters lakini unapewa degree, hujadandia mabgari asubuh na jion kwa wakazi wa mabibo hostel, lakini unapewa degree, hujagoma mara boom, mara malecture, mara nini lakin bado unapewa degree. Ok point yangu ni hii, ili kuondao hii aibu ya mwaka niliyoipata haapa udsm mbele ya M7, nitamwamuru huyu swaiba wangu aliyenitungia kile kibwagizo cha NGuvu...... Kasi..... Na ..........Mpya ambacho kilinipa ushindi wakati wa uchaguzi wa mwaka 2005. Hapa tutawafukuza wote waliohusika hata kama walihisiwa, lazima tuwaondoe, lakini kwa sababu hii itaweza lete shida, basi nitatuma kikosi kamili cha wasio na kazi kwa ajili ya kutembeza virungu na majiwasha. Kama hujapata boom tulia, kama hujafukuzwa tafakari hatma ya wenzako. Je ungekuwa wewe ungefanyaje? Ungependa wenzanko wafanye nini ili urudishwe chuoni? Msifikiri mpo pamoja katik kula mkate na divai kaka, wasaliti pia ni wengi dunian,

  Sasa ndugu yangu Bampani, ulitegemea nini? Yaani mimi nimwangushe swaiba wangu ambae tuko nae beneth nikiwa kama mshauri wake mkuu??
  Tafakari!
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  majitu mengine bwana?
  Yaani lirais lizima linaumiza kichwa kufanyiana visasi na schuleboys. Like Nyerere said, jamaa bado mtoto na hatakua kamwe. Afanalek!
   
 14. W

  Wings Member

  #14
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  poleni sana wana UDSM ndio watawala wetu walivyo, kama jinsi ninyi leo hamthubutu kuongelea issue ya hao wenzenu kutokana na kufukuzwa kwao kwa kuhofia kuongezwa kwenye list ndivyo hali ilivyo hata kwa vyuo vingine like UDOM, wanavyuo wananyimwa haki yao sababu ya watawala.
   
 15. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,148
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  wanaudsm hatukubari!!!!
   
 16. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  maneno matupu hayajengi ghorofa dogo.
  Nikikuwezesha uko tayari kumfunga paka kengele?
   
 17. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #17
  Dec 15, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  UDSM muko wapi jamani mbona muko kimya wakati wenzenu wamefukuzwa kimoja
   
 18. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Watu humu ni wachochezi huhhh!!!!!!!!!!!!!! eti mabulangati ni intelijensia kisa kuweza mambo wazi. Hapa hamna siasa wala porojo natoa kitu cha uhakika na kama sina data sitoi. Ukweli ni kwamba vijana walishasaidiwa sana na huyu mzee mwisho wanamuona ****. Umeshasikilizwa na kupewa kila ulichotaka mwisho unatibua kwa kufanyia vurugu wasiohusika. ukiambiwa umevuta bangi utakataa?? unafikiri nani atakukubali uwe mwanafunzi waki na wakati umeshindikana hata nyumbani???!! jamani lazima penye ukweli tuweke ukweli penye juinga tuoneshe ujinga wenyewe. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe Mukandala ni mzazi kama ilivyo kwenye bible mwana mpotevu mpaka alipokiri mwenyewe kuwa kakosea ndipo alirudi sasa hao mapaka wajirudi ndipo mzee afanye ubinadamu lakini wao walitaka chuo kifungwe ili mseme ooh rafiki wa JK kavuruga nchi nchi haitawaliki. Lazima mtawala aheshimike nae aheshimu na ndipo sehemu itawalike. Solidarity yenye akili, utashi, ubinadamu forever
   
 19. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  wakinifukuza,naanza kuroga wote mkandara,maboko na mgaya ikiwezekana hata na jk.
   
 20. King2

  King2 JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  So this Means Migomo ndo Mwisho udsm..
   
Loading...