Hatujui nini kinaendelea Bungeni

msembezu

Senior Member
Aug 18, 2014
179
29
Yani tangu matangazo yasitishwe jamii haijui nini kinaendelea na sasa ni kipindi cha uwazi, kwani tunafichwa mambo yanayoendelea?
 
ccm ndo wachawi wa maendeleo nchi hii....hii mijitu ilipaswa kuondolewa nchi hii ili nchi iweze kusonga mbele...nchi hii chini ya ccm hakuna maendeleo..zaidi zaidi ni kurudi nyuma
 
Mjue nyie kama nani mshawachagua vuneni mnachopanda ndo maana nayachukia mabongo movie na flava yalizunguka mitaani kuwadangaya watanzani maskini wa elimu **** kule dododma ona walichochagua ndo maana nikiona makalio ya wema yanaporomoka nafungua bia nyingine na yadondoke kabisa kwa maana hakuna namna tumechoka bana
 
Back
Top Bottom