Hatuitaji vyeo wala hatutafuti kitu,ni Uzalendo tu unaotusukuma kusema ukweli kwamba sasa Nchi imepata kiongozi Shupavu Rais Magufuli

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Maisha yangu siku zote sijawai kuipenda ccm na maisha yangu siku zote nimeiunga mkono Chadema hata uchaguzi wa 2015 sijaipigia kura CCM

Kwasababu siku za nyuma CCM ilishindwa kupambana na rushwa kabisa hasa rushwa nono za vigogo na mikataba mibovu

Mie kabla ya Magufuli nimekuwa muumini mkubwa wa Kagame kwa vitu wiwili tu,Nachukia rushwa na naitaji Maendeleo tu.

Ndio maana maana baada ya uchaguzi tu kwisha na kuanza kumuona Rais Magufuli akipambana na rushwa kubwa na kufuta mikataba yote mibovu na kurudisha nidhamu Serikalini na hapo ndo nilianza kumuunga mkono Raiswetu Magufuli

Kama nilivyojitoa siku zote kuiunga mkono Chadema sikulipwa hata mia na sikuitaji cheo ndivyo na leo namuunga mkono Rais wangu mpendwa Magufuli vile vile pasi na nakutegemea chochote

Kwa wale wenye mawazo mchoko mnaodhani tunatafuta vyeo nachelea kusema bado mpo kwenye mkwamo wa masafa marefu

Tunamuunga mkono Rais wetu Magufuli kwasabu mbili na za msingi:Moja amezuia rushwa kubwa,pili kurudisha nidhamu Serikalini na tatu anajenga Uchumi endelevu wa Taifa hili

Siku za usoni naamini Tanzania haitakuwa tegemezi kabisa kama huko mwanzo maana sasa rasilimali zetu hizi sasa lazima zitunufaishe kinyume na huko nyuma ambapo 95% walikuwa wanachukua wawekezaji

Kama ingekuwa amri yangu ningesema Rais Magufuli akae kwanza miaka 20 madarakani ili Nchi ipige hatua.

Tuache porojo na hadaa na dhamira zetu zinatushuhudia kabisa,Hakuna kiongozi ambaye angefanya haya ambayo leo Rais Magufuli anafanya.

Naudia najua baadhi humu mnamchukia Rais Magufuli kwasababu moja tu,wengi wetu humu mmekuwa mkinufaika na pesa za wizi kwa namna moja au nyingine na Rais Magufuli ameziba mirija yote.

#JPM KIOO TUELEKEACHO 2020

Alex Fredrick
+255 758 308494

FB_IMG_1556217997014.jpeg
FB_IMG_1555515645117.jpeg
Mh%20Biteko%2020190403_160705.jpeg
 
Umeokotwa jalala gani...mana huu ni uharo

View attachment 1132712View attachment 1132713View attachment 1132714
 
Usiweke simu yako tuu, weka na ya mkeo ili kama wanakupigia na simu yako imeishiwa charge basi wampigie mkeo.
Ni vizuri maana nyie mwili mmoja, na ukipewa uDC mkeo anaitwa mama DC
 
Nimefurahi uyaonayo ndio nionavyo Mimi MAGUFULI MZALENDO WA TAIFA ILI ANACHAPA KAZI KWELI KWELI
 
Kuweka number us simu kwani shida ipo wapi?waandishi wote wanaandika na kuweka mawasiliano yao,Mbona hujawai hoji?
 
Mimi huwa nawambia ukweli wanaishia kusema najikomba. Pale wanapokosea tunashauri ndiyo kazi yetu sisi wananchi. Hata viongozi wa upinzani wakifanya jambo la maendeleo tutawasifia tu
 
Kijana mie company 2 nimeajiri nyau kama wewe wengi njo kiwandan uone vitu.poleni mliozoea pesa za wizi hii amamu kama sio mtafuta pesa halali utajinyonga
Usiweke simu yako tuu, weka na ya mkeo ili kama wanakupigia na simu yako imeishiwa charge basi wampigie mkeo.
Ni vizuri maana nyie mwili mmoja, na ukipewa uDC mkeo anaitwa mama DC
 
Hivi mnajua wakulima siku za nyuma walivyokuwa wanaibiwa kuhusu korosho?hii changamoto ya muda tu inakwisha na hakutatokea tena hilo tatizo. Angalieni dhamira njema ya serikali sio kutafuta vijikosa
Huo ushupavu umeusaidiaje uchumi wa nchi?

Je tuna export nini?

Vipi kuhusu korosho, ushupavu wake umesolve tatizo au umeliongeza?

Ushupavu wake umesaidiaje kwenye kukuza private sector, umeisaidia au kuididimiza?
 
Unaweza tupa mfano hao wa jinsi CCM ilivyochangia wateja waje kwenye shughuli yoyote ya kiuchumi unayoifanya?
 
Kijana mie company 2 nimeajiri nyau kama wewe wengi njo kiwandan uone vitu.poleni mliozoea pesa za wizi hii amamu kama sio mtafuta pesa halali utajinyonga
Utahangaika bure wewe kijana. Unaweza kutupa tafsiri ya wewe kuweka namba yako ya simu?
Maana hakuna tafsiri zaidi ya kujipendekeza uonwe na kupewa fadhila.
 
Back
Top Bottom