Hatuhitaji Tume ya Katiba ya JK.....Katiba ya Zamani Tunaijua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatuhitaji Tume ya Katiba ya JK.....Katiba ya Zamani Tunaijua

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Jan 29, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 896
  Trophy Points: 280
  Tunaijua ndiyo. Hatuitaji Kamati wala Tume:


  1. Katiba ya sasa inaruhusu polisi kufyatulia risasi za moto na kuuwa raia na "upelelezi unaendelea"
  2. Katiba ya sasa inaruhusu ufisadi kama huu wa Richmonduli, Dowans, Epa nakazalika
  3. Katiba ya sasa inaruhusu mtu mmoja (jina ninalo) kuteua Rais wa nchi
  4. Katiba ya sasa inaruhusu masikini waendelee kuwa masikini na matajiri (tena wengi wao siyo Watanzania) kuendelea kuwa matajiri.
  5. Katiba ya sasa inaruhusu rasilimali zetu kuvunwa kiholela kwa makubaliano kati ya waziri mwenye dhamana na wawekezaji/wakoloni
  Kwa dhambi na dhuluma hizi, wala sihitaji tume wala kamati kuja kunieleza lolote mimi mwananchi. Na wala sihitaji kuwa na hicho kitabu cha katiba kwani yaliyomo ndo hayo hapo juu.

  Tunataka katiba mpya!!!
   
Loading...