Hatudanganyiki na umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatudanganyiki na umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Loyal_Merchant, Aug 5, 2011.

 1. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Katika kile kinachoonekana kujenga mazingira ya kukubalika kirahisi bajeti ya wizara ya nishati na madini.

  TANESCO wameamua kutoa umeme full time kwa baadhi ya maeneo ambayo awali yalikuwa yana mgawo hadi wa masaa 18 kwa siku.

  Haiingii akilini kuona siku chache baada ya Badra Masood kutangaza kuwepo na hali mbaya ya umeme, imekuwa kinyume chake kwani umeme umekuwa ukipatikana ful time.

  Hii ni janja ya kuwafanya wananchi wasahau tabu za umeme.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  mkipewa umeme mnalalamika wakizima mnalalamika
   
 3. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Wewe unataka nini?kama umeme upo na utaendelea kuwepo hakuna tatizo.
   
 4. ram

  ram JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,194
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Umeona eeh! Hatudanaganyiki
   
 5. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mgawo utaanza mara baada ya budget kupitishwa!!
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Aug 5, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Watanzania hali ya nchi yetu inasikitisha sana tena sana! hivi kweli nchi hii ina uongozi, mbona mambo yanafanika km hakuna kiongozi? aibu kubwa sana hii nchi jamani ptuuu
   
 7. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 953
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Mlijuaje utadhani mlikuwa kwenye ubongo wangu yaani baada ya bajeti ya nishati na madini kupitishwa subirieni mgawo mkubwa zaidi ya huu
   
Loading...