Hatua za uthubutu

MSDK pj

Member
Jul 17, 2021
10
29
๐Ÿ‘จโ€๐Ÿ’ป ( POWER OF SETTING SPECIFIC GOAL)
Bado tumejikta katika mada yetu ya hatua za mafanikio kipengele cha KUJIWEKEA MALENGO MAALUM.
Swali : Hivi kuna mahusiano gani kati ya malengo na mafanikio?
โœ๐Ÿฟ Ngoja nianze na mfano: Ujue binadamu anapo anza safari ya kitafuta maisha huwa hana tofauti na mto unao anzia juu ya mlima na kushuka chini.MTO una anza safari yake huwa upo katika straight line( yaana unakuwa una mwelekeo maalunu , ila MTO huwa unakosea kitu kimoja kipindi una tembea huwa unatabia ya kuzoa zoa vitu kweny njia hata pembeni yake kama mawe,magogo na kadhalika.
๐Ÿงโ€โ™‚๏ธ Vitu hivyo vinavyo zolewa na mtu badae huleta changamoto kwa MTO kwa kuziba njia ya mtu mbeleni na kusababisha MTO utawanyike na kuwa njia tofauti( kitaam DISTRIBUTARIES ) kabla haujafika pahala panapo hitpekee
:
๐ŸŽค Kwa nini MTO umeshindwa kufika mahali panapo hitajika kwa mwelekeo 1 jibu ni kwamba haukuwa na malengo maalum mfn haukuwa na mpango wa kuzoa mambo mengine njiani........
๐Ÿ‘†๐Ÿฝ๐Ÿ‘†๐ŸฝHii ina maana gani Usipo kuwa na malengo maalum hutofikia mafanikio kwa sababu muda mwingine utabeba mambo ambayo haya kuhusu na kupelekea kufikia kusiko julikana kama mtuo.
๐Ÿ™๐Ÿ™ Naomba nigusie Histori ya mtu aliye funja rekodi ya kucheza golf duniani : Huyu jamaa alijiwekea malengo ya kuwa mchezaji bora duniani wa golf akiwa na miaka 13 na alikuja kutimiza malengo yake akiwa na miaka26( haya ndo mafanikio)
Aliweka mikakati ya kushinda golf kwa level ya dunia na akajiwekea mikakati madhubuti( ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Ebu tuchukulie Ange weka MALENGO ya kuwa mcheza golf pekee bila kuweka neno dunia unadhani ingekuwa je?)
๐Ÿ–Š๏ธ Asingeweza kuwa na ushindi wa dunia kwani Ange weka mikakati ya kuwa mcheza golf mzuri pekee bila kuzingatia level.
๐Ÿค๐Ÿค Nije kwako una sema unataka kuwa na pesa je unahitaji kumiliki kiwango gani cha pesa? Lazima ubainishe na mikakati yako itaendana na kiwango unacho kitaka.
๐ŸŽŸ๏ธ mfno Mimi nimejiwekea malengo ya kukusanya Milioni 7 kwa mwezi hayo ndo malengo yangu ,na saivi nime weka mikakati ya kuipata hiyo pesa kwa mwezi.
Kwanza
1. Mkakati wangu wa kwanza ni kuwa na miradi zaidi ya 6( kila mradi ndani yake kuna mkakati)
2. Kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha.
3. Kuweka mahusiano mazuri na watu pamoja na makampuni.
4. Kujitaftia maarifa yatayo nisaidia kupata million 7 kwa mwezi.
Na kadhalika.
Imeandaliwa : *
๐Ÿ™๐Ÿ™
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom