Hatua za ujenzi wa nyumba

Wakubwa, habari zenu!

Ninaomba kuuliza. Mimi nina mradi wa ujenzi wa nyumba. Nimekuwa nikijichangisha kidogo kidogo na pole pole ujenzi unaenda na utakamilika. Mpaka sasa, nimeshainua boma, nimepaua, nimefanya blundering na nimeshaweka madirisha ya grill.

Ninachoomba mnijulishe ni:-

(i) Ni hatua gani inayotakiwa kufuatwa? Naomba mnitajie hatua moja baada ya nyingine hadi kukamilika kwa nyumba.

Nawasilisha
Wiring , fittings Kwa ajili ya maji safi ,plaster,unaweka gpsyum board,sciming plus under coat ya Rangi, umamalizia tiles, unakuja kimalizia kifunga vifaa vya umeme na vifaa vya vyooni Then unafill graut kwenye tiles ndo Fundi Rangi anafanya finishing ya mwisho.
 
Back
Top Bottom