Hatua za kupika cabbage

Kaanga tu kitunguu kisha weka cabbage yako ikaangike pia...isikae muda mrefu! Unaweza kaanga na carrot na hoho pia...
 
jamani u bachela unanisumbua naombeni msaada jins ya kupika kabej plz
nahitaji kujua hatua zake zile mwanzo mwisho plz ladies help me

Kwa uulizaji huu sidhan kama utapata majibu ya kutosha....
ina maana ladies peke yao ndo wanajua kupika?
Aya bana subir ladies wakuelekeze!
 
Katakata kabichi yako iwe nyembamba.....

Osha chuja maji maana inajua kukaa na maji

Katakata karrot (ukizigrate itakuwa bomba)
Hoho na kitunguu maji

Kaanga mafuta kidogo, weka kitunguu maji, koroga kama una tumajani twa rosemary unaweza tia kiduchu kuweka harufu.....( kama una nyama ya kusaga unaweza tia kiduuuuuchu kuongeza utamu)

Weka kabiji geuza

Weka karoti (ukitanguliza karoti itanyonya mafuta unaweza jikuta unaongeza mafuta kumbe unaharibu)

Ikikaribia kuiva weka hoho

Then ikiiva weka pembeni tia chumvi kiasi upendacho (hii ni ili kuepuka kutoa maji, mboga ya majani ukiitia chumvi wakati ipo kwenye moto inatoa maji sana) pakua tayari kwa kuliwa....

Unaweza kutia nyanya kama utapenda... ukishakaanga vitunguu kaanga karoti (hapa usizigrate? Ongeza nyanya, halafu chumvi then hoho kabichi (ingawa ukiweza hoho tia mwishoni maana sizipoiviana sana hutoa harufu nzuri zaidi) ila ukitia nyanya kuwa makini itatoa maji sana
 
Jamani ubachela unanisumbua naombeni msaada jins ya kupika kabej plz

Nahitaji kujua hatua zake zile mwanzo mwisho plz ladies help me
WARNING ! Warning ...tahadhari kubwa .....!!
Cabbage Mboga hii inakuwaga na BACTERIA nyingi sana na khsawa huficha micro bacteria wengi ! Hivyo mnapaswa kuosha
na kusafisha maranying bila kuanza kutumia (kupika au kula kama kama kachumberi) Osha vizuri kwa maji safi.
.....
 
Katakata kabichi yako iwe nyembamba.....

Osha chuja maji maana inajua kukaa na maji

Katakata karrot (ukizigrate itakuwa bomba)
Hoho na kitunguu maji

Kaanga mafuta kidogo, weka kitunguu maji, koroga kama una tumajani twa rosemary unaweza tia kiduchu kuweka harufu.....( kama una nyama ya kusaga unaweza tia kiduuuuuchu kuongeza utamu)

Weka kabiji geuza

Weka karoti (ukitanguliza karoti itanyonya mafuta unaweza jikuta unaongeza mafuta kumbe unaharibu)

Ikikaribia kuiva weka hoho

Then ikiiva weka pembeni tia chumvi kiasi upendacho (hii ni ili kuepuka kutoa maji, mboga ya majani ukiitia chumvi wakati ipo kwenye moto inatoa maji sana) pakua tayari kwa kuliwa....

Unaweza kutia nyanya kama utapenda... ukishakaanga vitunguu kaanga karoti (hapa usizigrate? Ongeza nyanya, halafu chumvi then hoho kabichi (ingawa ukiweza hoho tia mwishoni maana sizipoiviana sana hutoa harufu nzuri zaidi) ila ukitia nyanya kuwa makini itatoa maji sana

Ukitaka mboga ya majani isitoe maji sana basi usiifunike wakati wa kuipika.
 
Unaosha kabla kukatakata au unakatakata afu unaosha??
 
Back
Top Bottom