Hatua za kuanzisha biashara

MSDK pj

Member
Jul 17, 2021
10
29
HATUA ZA KUANZA BIASHARA
🖊️ Biashara ni kitu kizuri ila kinaweza kuwa kitu kibaya( itategemea na matokeo uyapatayo)
🎤 Ukizngatia hatu muhimu 10 biashara itakuwa ni kitu kizuri kwako *.
1. Kuwa na wazo zuri la biashara*
💧 Jambo la kwanza ni kuwa na wazo la biashara ambalo litakufanya wewe upate Yale unayo yatarajia katika biashara.
🖊️ matarajio ya wafanya biashara wengi ni kupata faida kubwa.
🧏‍♂️🧏‍♂️ Sikia nikupe siri kama wataka kupata faida kubwa sana yenye faida kubwa ,lazima uanzishe biashara kubwa.
😁😁 Je biashara kubwa iko je?
🖊️ Biashara kubwa ni wazo zuri la biashara litakalo kulipa wewe‼️
🤷‍♂️ Je wazo zuri la Biashara liko je?
✍🏿Wazo zuri la Biashara ni lile wazo ambalo linatatua shida za watu( maana ya hapi ni kwamba kama wataka pesa tatua matatizo ya watu ,ukitatua matatizo ya watu watakupa zawadi ya pesa ,kwa mantiki hiyo ukitatua tatizo kubwa utapata pesa nyingi))
Kabla hujaanzisha biashara lazima ufanye tafiti je hiyo Biashara ita tatatua tatizo la watu katika jamii?
Usianzishe biashara kwakuwa ume amua kufanya Biashara, umepata mtaji au kwakuwa Fulani anafanya biashara utafeli sana.
Angalia ktk jamii yako kipi kinasumbua? Alafu ndo ubuni mikakati za kuondoa hilo tatizo ukiondoa tuu basi jamii atakupa pesa( na hii ndo maana halisi ya Biashara)
Mfno Leo hii more dewj, Bakhersa wamekuwa na pesa nyingi kwa kuondoa Tatizo la ukosefu wa vinywaji na kadhalika.
😁😁Ila hata kampuni ya jambo nayo ikaona kuna tatizo la ukosefu wa baadhi ya radha katika vinywa wakaamua kuja na kinywaji kile kile ila kwa radha tofauti.( tumia vinywaji hivi)
🪢 Kwa msingi huo basi haina haja ya kuja na wazo jipya la Biashara katika jamii ila unaweza kuboresha biashara zilizopo katika jamii yako.
MSINGI WA WAZO LA BIASHARA
1. Boresha Biashara iliyo ktk jamii( anza Fanya utafiti ktk jamii uangalie wato humuma wanakosea wapi)
2. Anzisha biashar mpya.
3. Anzisha biashara ya utofauti.
🎤 kama wahitaji ushauri ktk nyanja za kuanzisha biashara, kuendesha biashara, na kuwa na wazo la biashara ( bure , wasiliana na Mimi kupitia namba 🙏🙏🙏
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom