Hatua za ku Install Dolby Atmos Kweny Andoid

kcamp

JF-Expert Member
Aug 31, 2014
8,514
7,909
Sisi wote hua kuna mda tunakaa na kuskiliza muziki,,either ukiwa umechil tu au upo zako unakimbia..au any time tu

Lakini wengine pia hua tuna angalia zetu moviez kweny smartphone zetu.

Sasa kuna kitu kinaitwa Dolby Digital sorround Technology,technology inayoweza fanya uskivu wa mziki kweny next level kabisa.

Sasa technology hii kwa sasa inapatkana kweny Simu pia...Kuna simu ambazo zinakuja na hii features kutoka kiwandani eg samsung s 9,huawei p20 pro na zingine

Sasa developers wameweza ku port Dolby Atmos kutoka kweny Lenovo A 7000 na kuja kupiga kazi kweny simu zingine za android.

JINSI YA KU INSTALL DOLBY ATMOS

1.
kwanza unatakiwa uwe umeroot simu yako

2. Uwe ume install Custom revovery..eg TWRP

3.uwe na dolby atmos zip

Sasa ukishakua na hizo requirements hapo juu basi

Boot simu yako kweny recovery mode,twrp ndio iko recommended

Kisha nenda kweny install zip,then utainstall dolby atmos zip ambayo nitaiweka hapa chini

Kisha reboot simu yako baada ya kuinstall hiyo zip

Baada ya kuwaka,basi utaikuta app ya Dolby,itumie hiyo kuset mzik na kuenjoy sorrounding..Kupata clean sound jarbu ku tweak kidgo vile utavotaka

Nashauri pia kua na headphone/earphone nzuri ili kuenjoy effects.

Player pia tumia Google music inaingiliana vizur za Dolby..make sure una disable systeam Equalizer ,ili itumike ile ya Dolby Atmos.

Enjoy

View attachment Dolby Atmos (0).zip
Screenshot_20181204-225357.jpeg
 
Sasa hii Atmos infanyaje kazi kwenye Stereo akati inatumia speker zaid ya 7.4.2??

Ina inakuwa just digital Effects engine.

Maana ukisema Dolby Atmos hata configuration ya channels zake ni shida. How inafanya kazi kwenye 2.1 au 2.0 channels

Experience ya configuration kama hii unapataje na earphones
epnajujzjwcubswxve97.jpeg
 
Sasa hii Atmos infanyaje kazi kwenye Stereo akati inatumia speker zaid ya 7.4.2??

Ina inakuwa just digital Effects engine.

Maana ukisema Dolby Atmos hata configuration ya channels zake ni shida. How inafanya kazi kwenye 2.1 au 2.0 channels

Experience ya configuration kama hii unapataje na earphonesView attachment 956351
Hautopata exactly experiance kama ya kweny theatre labda.

Ila utaipata kama ya kwenye simu walizo funga wao wenyew..mfano s9,lenovo A7000,p20 pro
 
Haya mambo sijiui ya ku-root ili upate kitu flani ndio yananikera. Ni bora ujichange upate kitu original kwenye kifaa chake.
 
Sisi wote hua kuna mda tunakaa na kuskiliza muziki,,either ukiwa umechil tu au upo zako unakimbia..au any time tu

Lakini wengine pia hua tuna angalia zetu moviez kweny smartphone zetu.

Sasa kuna kitu kinaitwa Dolby Digital sorround Technology,technology inayoweza fanya uskivu wa mziki kweny next level kabisa.

Sasa technology hii kwa sasa inapatkana kweny Simu pia...Kuna simu ambazo zinakuja na hii features kutoka kiwandani eg samsung s 9,huawei p20 pro na zingine

Sasa developers wameweza ku port Dolby Atmos kutoka kweny Lenovo A 7000 na kuja kupiga kazi kweny simu zingine za android.

JINSI YA KU INSTALL DOLBY ATMOS

1.
kwanza unatakiwa uwe umeroot simu yako

2. Uwe ume install Custom revovery..eg TWRP

3.uwe na dolby atmos zip

Sasa ukishakua na hizo requirements hapo juu basi

Boot simu yako kweny recovery mode,twrp ndio iko recommended

Kisha nenda kweny install zip,then utainstall dolby atmos zip ambayo nitaiweka hapa chini

Kisha reboot simu yako baada ya kuinstall hiyo zip

Baada ya kuwaka,basi utaikuta app ya Dolby,itumie hiyo kuset mzik na kuenjoy sorrounding..Kupata clean sound jarbu ku tweak kidgo vile utavotaka

Nashauri pia kua na headphone/earphone nzuri ili kuenjoy effects.

Player pia tumia Google music inaingiliana vizur za Dolby..make sure una disable systeam Equalizer ,ili itumike ile ya Dolby Atmos.

Enjoy

View attachment 956294View attachment 956296

Mkuu VP kuhusu VLC or KMP player??
 
Sasa hii Atmos infanyaje kazi kwenye Stereo akati inatumia speker zaid ya 7.4.2??

Ina inakuwa just digital Effects engine.

Maana ukisema Dolby Atmos hata configuration ya channels zake ni shida. How inafanya kazi kwenye 2.1 au 2.0 channels

Experience ya configuration kama hii unapataje na earphonesView attachment 956351
hakika wewe kweli unajua kuhusu sound system.
 
Hii viper kwangu inazngua...kila nikifungua inadai kuinstall driver japo nmekubal kila mda lakin haiishi kudai...so haifany kaz kwangu...

Nasaka dsp manager sema siipati tu..kama umeshatumia rom za cyanogen..walifunga hii kitu..
Kama umeroot kwa magisk utaipata kwenye download.
 
Hii viper kwangu inazngua...kila nikifungua inadai kuinstall driver japo nmekubal kila mda lakin haiishi kudai...so haifany kaz kwangu...

Nasaka dsp manager sema siipati tu..kama umeshatumia rom za cyanogen..walifunga hii kitu..
Hii nnimeitumia kwenye RR-O-v6.2.1. Upo kwenye N au O?
20181207_042155.jpeg
 
Hii viper kwangu inazngua...kila nikifungua inadai kuinstall driver japo nmekubal kila mda lakin haiishi kudai...so haifany kaz kwangu...

Nasaka dsp manager sema siipati tu..kama umeshatumia rom za cyanogen..walifunga hii kitu..
Inataka kernel ambayo ni permissive kwa samsung so kama hauna haikubali.
 
Back
Top Bottom