Hatua tano apitiazo mwanamke Vs mbili kwa mwanaume after breakup

gileun

Member
Nov 8, 2017
84
74
Wanawake:
1. Kukasirika sana (Anger)
2. Kuukataa ukweli (Denying)
3. Kumpunguza thamani ampendaye kwa kuongelea negative sides
zake (Bargaining)
4. Kuwa na mawazo mengi (depression)
5. Kujipendezesha Zaidi/kujaribu kutafta mwanaume bora zaid
(Making a better self/trying to meet a better man).

Kwa wanaume ni tofauti:
1. Self-destruction signs are shown or
2. Much more distressed (they suffer great pain) than women due to
unbearable loss!
 
Excuse mi ni wanaume wapi hao unaowaongelea kuwa hawaongelei negatv side ya wenzi wao.......darl siku hizi mnaongoza na shombo juu cjui dem zero brain,Mara ananuka mpapa,oooh wapi mi nilikua napita tu dem wa kuoa wa kuwa yule!sijui nn maneno sandakalawe

Siku hiz kifupi tunatoka bilabila si kwa jitihada zenu........angalia nyuzi za mipondeo juu ya Ma ex wao uone nani wanaongoza
 
Wanawake:
1. Kukasirika sana (Anger)
2. Kuukataa ukweli (Denying)
3. Kumpunguza thamani ampendaye kwa kuongelea negative sides
zake (Bargaining)
4. Kuwa na mawazo mengi (depression)
5. Kujipendezesha Zaidi/kujaribu kutafta mwanaume bora zaid
(Making a better self/trying to meet a better man).

Kwa wanaume ni tofauti:
1. Self-destruction signs are shown or
2. Much more distressed (they suffer great pain) than women due to
unbearable loss!
Mkuu zamannkwangu ilikuwa shida sana. Ila toka niwazoee hawa viumb akibreackup na mm nachukulia poa na tunakuwa marafiki wazuri tu sio kugegedana tena. Yaan washkaji tu. Na simu huwa napiga mda wowote naojiskia maana siweziacha kummiss.
 
Siku hizi mkiachana awe mwanaume awe mwanamke aliachwa lazima atarusha makombora! Ulimuona Emmanuel Mbasha na Ndikumana walivyo tapa tapa Instagram
Ni ujinga na inaonesha bado ana hisi na huyo aliemwacha mkiachana kila mtu afanye mambo yake inapendeza zaidi
 
kwanza bora hata wanawake sikuhizi hawana hizo za maneno ya shombo me naona wanaume wamezichukua hizo tabia za kike.
 
Wanawake:
1. Kukasirika sana (Anger)
2. Kuukataa ukweli (Denying)
3. Kumpunguza thamani ampendaye kwa kuongelea negative sides
zake (Bargaining)
4. Kuwa na mawazo mengi (depression)
5. Kujipendezesha Zaidi/kujaribu kutafta mwanaume bora zaid
(Making a better self/trying to meet a better man).

Kwa wanaume ni tofauti:
1. Self-destruction signs are shown or
2. Much more distressed (they suffer great pain) than women due to
unbearable loss!
Ulichonikera ni kuandika kwa kiingereza upande wa mwanaume, hakuna nilichoelewa, umenikera mno na ningejua mapema nisingesoma kabisa uzi wako.
 
Mkuu wanaumme wengine ukiachana nao wana chamba kama mashoga,utasikia yule sinilikua na mvumilia tuu,hana lolote mie ndio nilomfundisha mapenzi,mara ooh hajiwezi kwangu mie ndio nilokua namfikisha,nilikua namsaidia na ukoo wake woteeee,mara oooh ananuka K,yani ilimradi tafrani,kuna wanawake wengine walaaaaaaaaaaaaaa mda na wewe hawana wanakua kimnyaaaaaaa tuuu tukanaaaaaaaaaaaaaa weeeeeeeeeeee mpaka utosheke..
 
Wanawake:
1. Kukasirika sana (Anger)
2. Kuukataa ukweli (Denying)
3. Kumpunguza thamani ampendaye kwa kuongelea negative sides
zake (Bargaining)
4. Kuwa na mawazo mengi (depression)
5. Kujipendezesha Zaidi/kujaribu kutafta mwanaume bora zaid
(Making a better self/trying to meet a better man).

Kwa wanaume ni tofauti:
1. Self-destruction signs are shown or
2. Much more distressed (they suffer great pain) than women due to
unbearable loss!
Mkuu hizo tano ulizoandika hapo juu anapitia mtu yoyote haijalishi jinsi yake ili mradi tu awe ameachana na mtu aliye mpenda kwa dhati, hatua ya mwisho kabisa ni Acceptance (anakubaliana na matokeo na kuamua ku- move on kama)
 
Siku hizi mkiachana awe mwanaume awe mwanamke aliachwa lazima atarusha makombora! Ulimuona Emmanuel Mbasha na Ndikumana walivyo tapa tapa Instagram
Hyo kurushiana makombora ni hatua pia, mtoa mada kaiweka namba moja hapo 'Anger'. mkiachana kama mtu ulimpenda kweli lazima uwe na kahasira sema jinsi ya kudeal na hasira ndio tunatofautiana wengine wanaanza kurusha makombora
 
Back
Top Bottom