Hatua tano apitiazo mwanamke baada ya break up Vs mbili apitiazo mwanaume

Umesoma maana ya baharia lakini hapo juu mlevi??
Maana ya neno huweza kubadilika kulingana na matumizi ya wakati husika. Ni sawa lina maana hiyo, lakini pia kwa sasa linatumika kumaanisha kitu tofauti. Ila kwakuwa our brains huwa Negative biased, najua haitakua rahisi kuifikiri maana ya sasa isipokua itafikiriwa maana ya zamani.
 
kuachwa hakuzoeleki/inachomaa nawakumbusha tuu...
sasa sjui wote mnaacha yan hakuna aliachwa kwel?
 
We women hurt so deep and we crash so fast.... but we recover in no time.

Ila ndugu zetu sasa mwanzoni wanajifanya wagumu, as we heal wao ndo wana sink sasa.
mh, umeongea kweli tupu hapa......yalinikuta hayo, mwanzoni sikuwa namfikiria wala kujali lakini kadiri muda ulivyoenda naye kumpata mwingine nikageuka kuwa kama mtumwa hivi......nikawa najikuta namfuatilia kwa sana yaani kujua maendeleo yao tu na nikisikia wamepiga hatua basi kawivu fulani kalikuwa kananishika. ilinisumbua miezi kadhaa kwakweli na mpaka leo bado hiyo hali hunitokea lakini hainisumbui sana. ilifikia wakati najenga picha kabisa ya anachomfanyia huko chumbani....ni shida kwakweli!!!
 
Nilikuwepo tu, baada ya wimbi la wanaume wa dar kuwazuzua wanawake, nikaona mwanamme wa mkoani ngoja nipishe upepo huo. Maana PM umepiga kufuri hata busu lazima nitoe public, mwanaume wa mkoani yakanishinda. Fungua PM nikupe ubuyu wa siku mbili tatu zilizopita. I am sorry for kwa kuwa silent pipiiii wangu
Kunasiku nilikutag ukanichunia nikasema hapa sha pigwa chini
Mother Confessor

Kwanza ulikuwa wapii???
 
Sikuiona hiyo tag jomoniii piipii wangu😘😘
 
Back
Top Bottom