Hatua/stage gani utatafuta msaada katika tatizo la ukichaa?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Hello JF,

Bado naendelea kutafuta mambo ya vichaa/wenye matatizo ya akili na ndugu zao

Leo ningependa kujua kutoka kwa wanajamii wote au watu specific waliowahi kuuguza mtu mwenye kichaa...

Unadhani utaona imefikia hali gani ya mgonjwa ndio utatafuta msaada?

Msaada huo utautafuta wapi? kwa wachungaji/Mashekhe ?, Kwa waganga ???, ama Hospitali zinazotibu magonjwa hayo?

Karibuni.
 
Mkuu acha utani basi... :confused:
Mkuu, siwezi kukuletea utani, ila swali lako kwa jinsi nilivyolipokea halina tofauti na;

Mfano, Kiongozi mwenye tatizo "PYSCHOLOGICAL" halafu akakabidhiwa madaraka ya kulevya, mpaka atakapolichoma moto taifa na kuliangamiza, ndio watu watakumbuka kuomba msaada.

I stand to be forgived Rebeca 83
 
Back
Top Bottom