Hatua nne za kijasusi zinazoweza kumfanya mtu anuse hatari haraka

Amka asubuhi nenda mishe zako rudi nyumbani jioni, chukua peni na karatasi anza kujiandikia ripoti yako ya siku nzima kuanzia ulipotoka kwako njiani, kazini, njianikurudi home hadi ulivyo fika mtaani kwako na kuingia ndani tena
Halafu
 
Huku akihakikisha kila anapokaa mwiko kuipa kisogo barabara na akipenda sana kuwa msikilizaji kuliko kuwa mjuaji wa kila jambo. Akifika nyumbani apatazame kama kila kitu kipo sawa kama alivyokiacha au kuna utofauti.
 
Western movies zinakuwa na ujumbe mzito sana. Kuna uzi mmoja unaitwa sijuhi kula tunda kimasihara baada ya kukutana na ule uzi na kusoma comments zote, nilichogundua watoto wa kike wanaliwa through intelligence techniques tena za hali juu, ipo siku ntakujaga kuleta thread yake, mbinu za kijasusi zinazotumiwa na wanaume kula tunda kimasihara.
Doh anasbo njoo huku

Wanawake ni vichwa vibovu kwa kweli, ukitumia akili kidogo tu utawala mpaka uwakimbie, akili zao ni fupi mno, na mbaya Zaidi wenyewe hujiona wana akili kubwa.
Imagine mwanamke ameshafika mid 30's anatifuliwa rinda kiroho safi baadaae anaishia kushangaa shangaa huku vijana washatofoa jicho
 
Western movies zinakuwa na ujumbe mzito sana. Kuna uzi mmoja unaitwa sijuhi kula tunda kimasihara baada ya kukutana na ule uzi na kusoma comments zote, nilichogundua watoto wa kike wanaliwa through intelligence techniques tena za hali juu, ipo siku ntakujaga kuleta thread yake, mbinu za kijasusi zinazotumiwa na wanaume kula tunda kimasihara.
Naupuzia ule uzi basi ngoja leo niupitie
 
Back
Top Bottom