Hatua kwa hatua hadi Leirvik - Norway, kwa wanaotaka kufika Norway nitawaeleza hapa

Mwaka 2019 niliondoka bongo nikiwa na mchongo wa kwenda Norway.
Sio kuwa bongo nilikuwa Sina issue hapana, bongo nilikuwa na kazi nzuri tu na Hadi kuondoka niliondoka nikiwa vizuri na pesa ya kutosha Sana(ninaposema ya kutosha ninamaanisha).
Na pia ieleweke sikuja kuzamia Kuna kubadili mazingiria na kuona Kama naweza kupata zaidi ya nilichokuwa nikipata bongo.
Bongo nilikuwa kwenye shirika kubwa tu na nimezunguka sana mikoa mingi kwenye kazi za research. Na hapo nilikuwa nikipata "Per Diem" nyingi sana na ndio maana nikaamua kujiita Per Diem. Maana naweza kwenda Moro, au iringa au mbeya na nikakaa huko hata miezi miwili (per diem ilikuwa 150,000 kwa siku) na hapo mshahara bado upo palepale.
Narudia tena sikuja huku kimasikini kwa kuwa bongo nina nyumba na maisha yalikuwa Safi tu.
Humu Kuna watu wengi Sana wanatamani kwenda Europe hasa hizi nchi za Scandinavian.
Wengi wamechoshwa na ugumu wa maisha huko bongo, sasa nitawaeleza A to Z Hadi kufika huko na sidhani kama kwa aliye serious anaweza kupata ugumu sana Ila kikubwa uwe na pesa ya kuja huku.
Huku Usiwe mvivu, kazi ni nyingi sana na zinalipa kwa kuwa huku ni Kama kijijini tu na hivyo watu hawapendi zile kazi "local" hivyo wewe ni muda wako tu kufanya zote.
Nikilinganisha na per diem + mshahara nilikuwa napata bongo, huku ni Kama Mara 5 yake.
Mfano; bongo nilikuwa napata mil 6 kwa mwezi basi huku kwa mwezi nakusanya mil 30.
Kumbuka huku hakuna ndugu sanasana unaweza pata rafiki mmoja au wawili kinafki ili muwe mnapiga tu story japo wao hawapendi Sana.
Angalizo:
Narudia tena nitaweka kila hatua hapa wazi, sihitaji kabisa mambo ya PM. Wewe Cha kufanya fuata hizo hatua na mengine ujiongeze mwenyewe, ilaa nasisitiza zaidi uwe na pesa.
Sitaki pia kujuana sana, uliza swali hapahapa na jibu nitakupatia. Sitaki mambo ya message inbox Wala sijui kupeana namba za simu.
Pia sitaki presha ya sijui mbona hivi au vile mbona leo kimya story haindelei au sijui nini, ni hivi nimejitolea kuwaeleza hivyo silipwi na Mtu pale ntapokuwa na muda nitaandika na kila mtu atafahamu hivyo jukumu linabaki kwako, ninaeleza haya mapema kwa kuwa nawajua Sana wabongo walivyo.
Nitaendelea.......................

View attachment 1775418
Cc Parabora
 
Kuna mdau alishawahi kuja kwa style kama hii kiukweli alifanikisha kushawishi kundi kubwa la watu mpaka pale msamaria mmoja aliyefanya investigation za chini chini alipoabaini kua mdau ana edit post zake ili kuficha asigundulike lakini kupitia replies za watu ambazo hazibadiliki hata uki edit ndipo alipokuja na screenshot za ushahidi huo

sikumbuki title ya uzi unaitwaje ila mdau alichambuliwa haswa
Cc Parabora
 
Hua wanachosha balaa, haalafu ndio anakuambia aisee kule nimekaa miaka 20 bwana, unaona nimejenga gorofa langu hapa nimetulia, kule kugumu sana usiende kabisa baki hapa hapa bongo..."

mamaeh ili muendelee kuwanyenyekea na kuwaomba hela waabudiwe na kutukuzwa..nina mifano hai mingi tu, ni wachache sana anayekupa njia kuanzia kuondoka hadi kufika na kazi
Mie sijui waniambie kitu gani ndo ntasita kwenda!
 
We ni mhaya mbona uzi wako una element za kisifa.

Back
Top Bottom