Hatua gani utachukua ukigundua mke/mume wako anachepuka?

Kama unampenda na haupendi kumpoteza, then utakachofanya ni kuchunguza bila yeye kujua,ili ufahamu ni kitu gani anachokwenda kutafuta huko nje ambacho wewe haumpatii.

Kama ukikijua then keti nae umuelezee why unashindwa kumpatia na mfanye nini kushirikiana kukipata.

Kama kipo nje ya uwezo wako kumpa (mfano kwa mwanamke kutokuwa na tako) then mshawishi aone uzuri wako eneo jingine kuhusu wewe.

Lakini pia kama ni swala la tamaa tu then ni swala la kiroho na kisaikolojia, viongozi wa imani na wataalam wa maswala ya afya wanaweza kuwa msaada sana eneo hilo.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke anauma sana hasa yule uliomhangaikia na ukahakikisha kila kitu kinakwenda ili ufanikishe kuishi nae baada ya muda anatokea mjinga anamrubuni baadae wewe unaonekana fala! Dawa ndogo tu!

Namtafutia masela huyo jamaa analiwa kiboga! Na wife mbali na kua ndoa imeisha ila Ndugu zake wote wa kike LAZIMA niwapitie ikibidi kuzaa nao! Kwa hali yoyote na kwa gharama zozote! Binafsi napenda sana kisasi!
 
Mwanamke anauma sana hasa yule uliomhangaikia na ukahakikisha kila kitu kinakwenda ili ufanikishe kuishi nae baada ya muda anatokea mjinga anamrubuni baadae wewe unaonekana fala! Dawa ndogo tu! Namtafutia masela huyo jamaa analiwa kiboga! Na wife mbali na kua ndoa imeisha ila Ndugu zake wote wa kike LAZIMA niwapitie ikibidi kuzaa nao! Kwa hali yoyote na kwa gharama zozote! Binafsi napenda sana kisasi!

Mwanaume au mwanamke, obvious lazima aume kama msukumo wa ndoa ulikuwa upendo na si vinginevyo. Huku kuchukuana-chukuana tu mtaani, bila plan wala maandalizi, ndiyo sababu ya mivurugano isiyoisha. Mengine uliyoyaandika ni ujinga na upuuzi.
 
Back
Top Bottom