Hatua gani ichukuliwe kwa tabia hii???

kamonga

Senior Member
Feb 13, 2008
170
33
Wadau, hii nimekuta sehemu. Bidhaa ya chakula inapigwa label imetengenezwa tarehe ambayo hatujaifikia. TBS mpo wapi? Yaani hata ukiwa mstaarabu wa kuangalia expiry dates haisadii. nchi hii tunakufa kwa mambo mengi sana kwa ajili ya uzembe wa watu wengine.:frusty:
 

Attachments

  • blogger-image--507924221.jpg
    blogger-image--507924221.jpg
    35.3 KB · Views: 227
Back
Top Bottom