Hatua aliyo ichukua Diamond siku ya Birthday yake ni ujumbe gani anatupa sisi kuanzia kwa Alikiba na wasanii wengine

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Hapa tunapita tu ila msifu anayefanya vizuri kwa jamii maana kuna ndugu marafiki na wengine wanao nufaika na kutaka maisha yao ya kiuchumi na elimu yaboreshwe, asiyetaka wmenzie afanikiwe ni mchawi, aliye na wivu wa kufanikiwa kwa mwenzie ni mchawi, sasa ujumbe huu wa kuisaidia jamii na kukarabati majengo ya shule... tunaupokeaje na unatufundisha nini kuanzia kwetu, kwa Alikiba na wasanii wote hapa nchini.
 
Hizo ni kampeni tu , wewe subiri kuna mtu anaandaliwa kipitia hapo kutengeneza njia kama yohana mbatizaji.
 
Hapa tunapita tu ila msifu anayefanya vizuri kwa jamii maana kuna ndugu marafiki na wengine wanao nufaika na kutaka maisha yao ya kiuchumi na elimu yaboreshwe, asiyetaka wmenzie afanikiwe ni mchawi, aliye na wivu wa kufanikiwa kwa mwenzie ni mchawi, sasa ujumbe huu wa kuisaidia jamii na kukarabati majengo ya shule... tunaupokeaje na unatufundisha nini kuanzia kwetu, kwa Alikiba na wasanii wote hapa nchini.
Namuona akielekea mjengoni. Ukimsikiliza baba yake youtube alipohojiwa kwa nininyeye hakualikwa kwenye birthday kuna maeneo alikuwa akirudia rudia kuwa mi vizuri kwa mwanae kuisaidia jamii inayomzunguka ili kujiwekea mazingira ya luweza timiza lengo lake. Ni mtazamo wangu kuwa atakuja gombea ubunge muda si mrefu jimbo ambalo Tandale ipo.
 
Ali Kiba ashatoa misaada msikitini sema hapendi show off tu.
 
Back
Top Bottom