Hatoi matumizi ya mtoto, kaomba nimkopeshe pesa

Habari za weekend wapendwa,

I hope you are all doing great.Mimi ni single mum ambaye nalea mwanangu mwenyewe toka mjamzito.Babake alikataa mimba na kuomba niitoe but niligoma kuuwa kiumbe kisicho na hatia.
Huyo jamaa mjinga sana, na wewe pia si uliambiwa uitoe. Umeamua kulea mwenyewe lea acha kulia lia, kwa kifupi wote mnashida. Kwa kifupi pambana na hali yako.
 
Haa haa haa huwezi coz unaonekana mtu mwenye huruma sana, ila kaa ukijua huku kwenye kambi ya kiume huwa tunaambiana kuwa mwanamke ukizaa nae hawezi kuwa na ubavu wa kukukataa hata kama umemuacha coz mtoto ndio bond yenu. Eti ni kweli?
Kuna tofauti ya kuwa na huruma na msimamo. Bond inakuepo ukiendekeza but if you decide to move on with your life sidhani kama unaweza endeshwa na hisia kisa mna mtoto
 
Huendaa jamaa hakuwa tayari kulea mtoto ....

Muwe mnashirikishana kwenye hatua za kubeba ujauzito, sio mnaanza kulialia badae bila sababu ....
Kushirikishana kupi kwingine unakokutaka?

Mtu anavua boxer, anagonga kavu kavu, anapiga bao anakojoa humo humo.
Anarudia hizo process mara kadhaa. Halafu unataka kuaminisha kuwa hakukua na ushirikishwaji wa baba?

Unataka ushirikishwaji upi mwingine mkuu? Mwanaume shabash aliekamilika, akishiriki hizo process zote hapo juu, na mimba ikanasa hawezi kuanza kulalama eti mdada kashika mimba bila kumshirikisha. Kitu pekee ninachoweza mlaumu huyu binti ni kumvulia chupi mwanaume mpumbavu.
 
Huyo jamaa mjinga sana, na wewe pia si uliambiwa uitoe. Umeamua kulea mwenyewe lea acha kulia lia, kwa kifupi wote mnashida. Kwa kifupi pambana na hali yako.
Hahaha inaonekana umewatoa mabinti wengi mimba mkuu hence the bitterness..Hakuna sehemu nimeandika kuwa nalilia matumizi. Huyo mtoto ni Wakwangu piaa so ni jukumu langu kumlea
 
Mambo ni mengi mkuu ila isiwe sababu ya mtu kushindwa hata kumletea mtoto sukari ya uji..Wanaume kuna wakati wanajiendekeza sanaaaa...Kulea mtoto siyo lazima uwe na mamilioni pia kila mtu ana matatizo isiwe sababu ya kukimbia majukumu..Anyway I am not complaining
Hii jibu lako linatoa taswira namna gani maisha yenu yalivyokuwa hapo kabla na ndio chanzo Cha haya yote yanayo tokea Sasa. Kama uliwahi kumkosea kwa vitu vilivyo mtia wasiwasi basi yaweza kuwa ndio sababu ila naye akaweka hasira zaidi.

Naamini ukweli wa mambo waujua kaa fikiria mazuri yake kwako kisha fikiria pia wapi ulimkosea wewe Kama binadamu alafu mkae mzungumze asiwepo mtu wa kijihesabia haki kuliko mwingine hapo muafaka mtaupata mkuu.

Hakuna mwenye haki saana duniani kujirudi ni sehemu ya maisha yetu wanadamu kuendelea kugombana na kuchukiana, kufungiana vioo haina faida yoyote zaida sana ni hasara tu kwa mtoto wenu.
 
Najua unayo Jay ila umenifanyia makusudi

Kumbuka kua ni Mbegu yangu na yai lako ndivo vimetupatia binti mrembo sana.

Maisha yanabadilika na vitu vinabadilika, mpaka imefikia wakati wa kukuomba unikopeshe utambue yakwamba nmekwama.
Mpwa mbona km unataka kumfanyia kimasihara..
 
Hata kama huna roho mbaya shoga usimpe..acha apambane tuu na hali yake halafu hawezi barikiwa hata angekuwa anafanya kazi juu ya anga hizo ni laana na ukimpa utageuzwa bank,hiyo laki tano bora umuwekee mwanao kwenye account itawafaa siku mkikwama,.kuna wanaume hawana haya jamanii khaa!!!
Mmh best maisha hayako hivyo, jifikirie mwisho wa hayo yote ni nini?
Kwamba ndio damu itabadilika kwa mtoto huwezi jua ya kesho labda ndio atakuja kuwa msaada kwa mama na mtoto katika nyakati ambazo hakutegemea kabisa.
Kuna vitu ni kweli vinaumiza sana lakini tusichochee chuki.
 
Ila kuna wanaume wana pata miteremko sana ktk maisha, mbona wengine hatukutani na wanawake kutusaidia kulea on their own.?

A rule of thumb tumia condom mpaka uwe na uhakika wa maisha ya mtoto...bora uchelewe kuzaa kuliko kuja kutesa mtoto wa mwanaume mwenzio na mwanao.
 
Sijui wanawake wengi kwanini wanapenda kuwa shamba darasa,yaani hatujifunzi na mapito yote aliyokupitisha.Mwanaume akuhudumii kwa chochote still unawasiliana nae hadi unakiri kwamba ungekuwa na hizo pesa ungempea kweli wacha tu akuchezee maana hata hujielewi.

Ndo maana mnafanya single maza wazidi kudharaulika.Fungua akili yako wacha kuchekelea huyo fala,Mblock akafie mbali unless unataka akujaze mimba ya pili.
 
Sijui wanawake wengi kwanini wanapenda kuwa shamba darasa,yaani hatujifunzi na mapito yote aliyokupitisha.Mwanaume akuhudumii kwa chochote still unawasiliana nae hadi unakiri kwamba ungekuwa na hizo pesa ungempea kweli wacha tu akuchezee maana hata hujielewi.Ndo maana mnafanya single maza wazidi kudharaulika.Fungua akili yako wacha kuchekelea huyo fala,Mblock akafie mbali unless unataka akujaze mimba ya pili.
Samahani mkuu, Siwezi mruhusu mtu kunichezea. Au kuamua kuzaa mtoto ndo kuchezewa? Pili, sikua na mawasiliano nae toka azingue kwenye matumizi so leo kaamua tu kupiga simu kwa shida zake..Muwe mnaelewa kabla hamjaanza kujibu watu kwa hasira..
 
Back
Top Bottom