Hatma ya wanafunzi waliofukuzwa UDOM yafafanuliwa na Waziri wa Elimu

BILGERT

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
6,535
10,974
#Habari:Waziri wa Elimu nchini Tanzania Pof.Joyce Lazaro Ndalichako atoa msimamo wa Serikali juu ya waliofukuzwa chuo kikuu cha Dodoma, leo jijini Dar es Salaam, ambapo amesema kuwa kati ya wanafunzi zaidi ya elfu saba waliokuwa wamedahiliwa na kuanza chuo kikuu dodoma ni wanafunzi 382 tu ndio wenye sifa ya kurudi chuoni.
Chanzo.Radio one/ITV
 

Attachments

  • FB_IMG_1468926493644.jpg
    FB_IMG_1468926493644.jpg
    33 KB · Views: 61
Maskini Tanzania yetu .
Pole kwa vijana walopoteza muda wao japo najua watakua wamenunua visabufa vya kuwapooza kwa mkopo waloupata.
 
lakini wengi wamepiga bao wamepata mikopo ya awali wakati hawana sifa, magufuri hana mchezo na vilaza aisee
 
Back
Top Bottom