Hatma ya wanafunzi hawa kwa TCU na NACTE 2016/2017

24hrs

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,624
5,947
Nikianza na wale wenye principal pass E ya mwaka 2013, na principal pass D ya mwaka 2014-2015 na hawa ndugu zetu wa diploma wenye gpa ya 2.0-2.9.

Foundation course Open University......
Je serikali kupitia wizara ya elimun kundi hili halina sifa tena kupata elimu ya shahada kwa mwaka wa msomo 2017/2018 mwisho wa kunukuuu...
 
Ndiyo. Hawana either wakarudie mitihani ya form four au form six NDALICHAKO alipokua open aliuliza kama watu hawana sifa wanakwepa nini kurudia kule NECTA.........
 
Kwa hao wenye GPA ndogo si wanafanya maturity examination au nayo imekatazwa
 
guide book- 2017-2018 na mapya yake kipenga kitapulizwa mwz wa sita mpka wa kum mwishoni imeeleweka...
 
Hii ilishakua janga tokea kufuatia kufunguliwa kwa dirisha la Application mwaka jana 2016!!!!!
 
Ndiyo. Hawana either wakarudie mitihani ya form four au form six NDALICHAKO alipokua open aliuliza kama watu hawana sifa wanakwepa nini kurudia kule NECTA.........
Kwa upande wa form four utatakiwa kurudia mtihani ikiwa sio zaidi ya umefanya mtihani miaka mitano iliyopita
 
Aliyekosa pass za kuendelea na shahada form six hununua mtihani mwaka mmoja je aliemaliza diploma akiwa na ufaulu wa 2.0-2.9 afanye nn ????
 
Aliyekosa pass za kuendelea na shahada form six hununua mtihani mwaka mmoja je aliemaliza diploma akiwa na ufaulu wa 2.0-2.9 afanye nn ????
elimu ipo lumumba inachambuliwa....
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom