Hatma ya Tanzania mikononi mwa CCM

Haya malalamishi yashakuwa ya kutosha sasa tunahitaji kuona vitendo tu kwa sasa! Hata mtoto akichoka maisha ya kubanwa banwa na mzazi huchukua maamuzi ya kuanza mbele kujitegemea.
Ccm wataendelea kuitawala hii nchi mpaka wenyewe labda waseme basi!πŸ˜‚πŸ˜‚

Mimi mwenyewe nimewanyooshea mikono juu

Ova
 
Tuwape wowote tu mtumishi mwenzangu.

Hata mzee wetu Hashim Rungwe.

Kumbuka, the ideal solution can be found ONLY after examining ALL the available options.

Let us examine all solutions and....who knows? we may end up getting our IDEAL solution.
Yaani baba hata kabla hatujawapa tunaona kabisa hawapo serious ,,ndio tujitose tuwape kweli ??
Unadhani kuna litakalobadilika??
Kwa kweli Tz sijaona chama kinachonivutia.
Kikipatikana nitaenda kuchukua kadi na kupiga kura.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Yaani wao ni serikali na chama

Wao ndiyo kila kitu nchi hii

Sasa we utaweza kupigana naye

Achana kabisa na ccm

Ova

Kwa kweli.

Mimi mwenyewe nishaona hadi watakapochoka wenyewe.
Labda wananchi wote waamue kuingia barabarani,,,na bado sijaona watu wa kujitoa kimasomaso kuingia front.
 
Yaani baba hata kabla hatujawapa tunaona kabisa hawapo serious ,,ndio tujitose tuwape kweli ??
Unadhani kuna litakalobadilika??
Kwa kweli Tz sijaona chama kinachonivutia.
Kikipatikana nitaenda kuchukua kadi na kupiga kura.
And, here is where this point comes into a play

Creating some sense of healthy competition kwa watawala.

A moment Plan A anagundua hayupo TENA guaranteed kuwa kwenye kiti for another term, ata perform.

Same can be said kwa Plan B.

Watu hawata relax tena, watatoka kwenye confort zone.

That is all we need.
 
Kwa kweli.

Mimi mwenyewe nishaona hadi watakapochoka wenyewe.
Labda wananchi wote waamue kuingia barabarani,,,na bado sijaona watu wa kujitoa kimasomaso kuingia front.
Nchi hii haijafika huko

Ila ccm kwa mizizi waliyojiwekea watawala mpaka labda wenyewe waseme inatosha

Maana wao ni chama na dolla

Ova
 
And, here is where this point comes into a play

Creating some sense of healthy competition kwa watawala.

A moment Plan A anagundua hayupo TENA guaranteed kuwa kwenye kiti for another term, ata perform.

Same can be said kwa Plan B.

Watu hawata relax tena, watatoka kwenye confort zone.

That is all we need.
Sawa baba
2025 Mungu akipenda tutaingia front tukapige kura tumuingize plan B.

Ila asije akaingia akaanza nyimbo zile zile kama za Plan A na akaanza kung'ang'ania kama kupe kama jinsi hawa kijani kibichi walivyong'ang'ana
 
  • Thanks
Reactions: Pep

Kwa kweli.

Mimi mwenyewe nishaona hadi watakapochoka wenyewe.
Labda wananchi wote waamue kuingia barabarani,,,na bado sijaona watu wa kujitoa kimasomaso kuingia front.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pep reaction yako kwa comment yangu imenistua🀣🀣
Tutaingia front kupambana babaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtumishi mwenzangu,

I agree wote wana weaknesses.

Hata hivyo, there's nothing wrong with trying different options.

Tumetoa nafasi kwa plan "A" yetu and it has failed us for 60 years.

Hatuwezi kujua kama plan B nayo itatu fail, the only way to know is....lets try them

The good thing is, hii ita create some sense of healthy competition kwa watawala.

A moment Plan A anagundua hayupo guaranteed kuwa kwenye kiti for another term, ata perform.

Same can be said kwa Plan B.

Watu hawata relax tena, watatoka kwenye confort zone.

Wanadamu wengi tumeumbwa kukaa katika confort zone, we only step up when our zone is endangared.

That is human nature, we need external competition to be at our best.
CDM will become another Magufuli wala huhutaji rocket science kuliona hilo.

System zetu ni very weak kiasi kwamba hata Rais aliyepp akikataa kutoka huna uwezo wa kumfanya chochote.

The only healthy option ni kuwa na competitive political parties ambazo hakutakuwa na chama chenye monopoly kimaamuzi.

Otherwise, we are done.
 
Sawa baba
2015 Mungu akipenda tutaingia front tukapige kura tumuingize plan B.

Ila asije akaingia akaanza nyimbo zile zile kama za Plan A na akaanza kung'ang'ania kama kupe kama jinsi hawa kijani kibichi walivyong'ang'ana
Hapa umenipiga booooooonge ya kamba...2015 daaaah

Mama mtumishi 🀣🀣
 
The only healthy option ni kuwa na competitive political parties ambazo hakutakuwa na chama chenye monopoly kimaamuzi.

Otherwise, we are done.
Nakubaliana na wewe mkuu.

Tatizo letu kubwa sana ni mifumo, systems zinatuangusha.

Hazitupi nguvu sisi raia. Viongozi wetu wapo empowered kuliko kawaida.

Kama akitokea yeyote ambaye anaonesha nia ya kutengeneza STRONG INSTITUTIONS kuliko sasa hivi ambapo tuna STRONG PERSONALITIES, pengine....tutaweza kuanza kuelekea kwenye ukombozi.

Tukifika tu mahali hii monopolisation ikaondoka, our viongozi wetu wataanza kujiskia insecure.

Na hilo likitokea, watu wengi muhimu wa idara muhimu watapatikana on meritocracy basis ili kuhakikisha the existing regime ina deliver...or else, they are gone.

Bado naamini The ideal solution can be found ONLY after examining ALL the available options.
 
Tuanzishe chama chetu baba
 
  • Kicheko
Reactions: Pep
Kwenda kula Christmass Jela sitaweza mama mtumishi wangu mzuri

Tubaki tu kuwa wakereketwa na mashati yetu πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ™ŒπŸ™Œ
Baba🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Nimecheka kama chiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom