Elections 2010 Hatma ya Mbatia kisiasa

mpenda

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
250
22
Jamani vipi kuhusu huyu Mbatia, matokeo haya yana implication gani kwake kisiasa?? :thinking::thinking::thinking:
 
Mimi nadhani Mbatia uvuto wake kisiasa umeshapungua sana. Anachotakiwa kufanya ni kuungana na chama kingine cha upinzani chenye nguvu kama CHADEMA au CUF ajaribu tena
 
alibugi step kugombea DAR na hasa Kawe. Bora angeenda kwa mzee wa kilalacha. Apumzike tu
 
Hivi alipata kura ngapi kule Kawe??

AIBU kubwa kwa kiongozi anayejiita ati ni wa ''kitaifa''. Unajua ni design ya viongozi kama akina Mbatia wanaotia doa na kudhalilisha upinzani. Well, sasa arudi kundini kwake kwa amani - CCM
 
Aendelee kusoma alama za nyakati, nani ajuaye yawezekana siku moja akaibuka.Ushauri wa kutafuta chama chenye nguvu waweza kumsaidia
 
jamani vipi hali ya mbatia kisiasa?? mi naona angedrop siasa sasa.. abaki na ngo:thinking::thinking::thinking:
 
Siasa zetu kwa sasa ni kama 'left' na 'right'. Sasa yeye kwa sasa anaonekana kama yuko 'katikati' kwa hiyo upinzani wanamuona ni kibaraka wa CCM na CCM wanamuona ni sehemu wa upinzani (hata kama anajipendekeza kwao CCM). Kwa hali kama hii utatuzi wake anaujua mwenyewe mbatia
 
[QUOTE=Kagalala;1206733]Mimi nadhani Mbatia uvuto wake kisiasa umeshapungua sana. Anachotakiwa kufanya ni kuungana na chama kingine cha upinzani chenye nguvu kama CHADEMA au CUF ajaribu tena[/QUOTE]

Ni kweli kabisa. Kuna haja sasa ya hivi vyama vya siasa kuunganisha nguvu. Kuna maeneo ambayo wangeweza kushinda vizuri sana lakini wameishia kugawana kura na hivo kuipa ushindi CCM. Mfano mzuri ni Tarime.

Tatizo ni kwamba nani ahamie kwa mwingine lakini naona kinachowaumiza kichwa ni swala la ruzuku, uchu wa madaraka na ubinafsi uliojikita kwa vingozi wa vyama hasa hivi vyama vidogo pia. Kuna vyama kama TLP, Jahazi Asilia, PPT, UPDP, NRA na vinginevyo ambavo hata udiwani havijapata, ingekua busara sasa kwa vyama kama hivo kuunganisha nguvu na kuunda chama kimoja ambacho kitakua na nguvu lakini pia uzoefu wa kisiasa haswa ukizingatia kwamba tayari wameshashiriki uchaguzi mara kadhaa na wameona hali halisi. Sioni busara ya kuendelea kukaa kwenye chama ambacho kwa mara nne mfululizo katika uchaguzi mkuu wanashindwa hata kupata mbunge mmoja au hata asilimia 3% ya kura zote zinazopigwa na wananchi.

Ni busara sasa kwa viongozi wa vyama kuondoa aibu na ubinafsi sasa na kuona wataweza vipi kuunganisha utaalam, uzoefu, rasilimali ili kuleta mapinduzi ya kweli dhidi ya CCM.
 
[QUOTE=Kagalala;1206733]Mimi nadhani Mbatia uvuto wake kisiasa umeshapungua sana. Anachotakiwa kufanya ni kuungana na chama kingine cha upinzani chenye nguvu kama CHADEMA au CUF ajaribu tena

Ni kweli kabisa. Kuna haja sasa ya hivi vyama vya siasa kuunganisha nguvu. Kuna maeneo ambayo wangeweza kushinda vizuri sana lakini wameishia kugawana kura na hivo kuipa ushindi CCM. Mfano mzuri ni Tarime.

Tatizo ni kwamba nani ahamie kwa mwingine lakini naona kinachowaumiza kichwa ni swala la ruzuku, uchu wa madaraka na ubinafsi uliojikita kwa vingozi wa vyama hasa hivi vyama vidogo pia. Kuna vyama kama TLP, Jahazi Asilia, PPT, UPDP, NRA na vinginevyo ambavo hata udiwani havijapata, ingekua busara sasa kwa vyama kama hivo kuunganisha nguvu na kuunda chama kimoja ambacho kitakua na nguvu lakini pia uzoefu wa kisiasa haswa ukizingatia kwamba tayari wameshashiriki uchaguzi mara kadhaa na wameona hali halisi. Sioni busara ya kuendelea kukaa kwenye chama ambacho kwa mara nne mfululizo katika uchaguzi mkuu wanashindwa hata kupata mbunge mmoja au hata asilimia 3% ya kura zote zinazopigwa na wananchi.

Ni busara sasa kwa viongozi wa vyama kuondoa aibu na ubinafsi sasa na kuona wataweza vipi kuunganisha utaalam, uzoefu, rasilimali ili kuleta mapinduzi ya kweli dhidi ya CCM.
[/QUOTE]

Ya, ni kweli hivi vyama vidogo vidogo ambavyo vimekuwa around toka uchaguzi uliopita na havijafanya chochote cha maana ni heri wangejiunga na wengine. Tukirudi kwenye hoja ya Mbatia, naona tatizo lake ni hilo hilo kwamba akiwa kwenye chama anataka yeye ndio awe kinara ndio maana inakua vugumu kujiunga na wenzake. Tatizo hili Mrema na Cheyo wanalo vile vile
 
Hivi alipata kura ngapi kule Kawe??

AIBU kubwa kwa kiongozi anayejiita ati ni wa ''kitaifa''. Unajua ni design ya viongozi kama akina Mbatia wanaotia doa na kudhalilisha upinzani. Well, sasa arudi kundini kwake kwa amani - CCM
Arudi CHADEMA ili ajengwe na kuimarika kabla ya 2015!
 
[/COLOR]

Ni kweli kabisa. Kuna haja sasa ya hivi vyama vya siasa kuunganisha nguvu. Kuna maeneo ambayo wangeweza kushinda vizuri sana lakini wameishia kugawana kura na hivo kuipa ushindi CCM. Mfano mzuri ni Tarime.

Tatizo ni kwamba nani ahamie kwa mwingine lakini naona kinachowaumiza kichwa ni swala la ruzuku, uchu wa madaraka na ubinafsi uliojikita kwa vingozi wa vyama hasa hivi vyama vidogo pia. Kuna vyama kama TLP, Jahazi Asilia, PPT, UPDP, NRA na vinginevyo ambavo hata udiwani havijapata, ingekua busara sasa kwa vyama kama hivo kuunganisha nguvu na kuunda chama kimoja ambacho kitakua na nguvu lakini pia uzoefu wa kisiasa haswa ukizingatia kwamba tayari wameshashiriki uchaguzi mara kadhaa na wameona hali halisi. Sioni busara ya kuendelea kukaa kwenye chama ambacho kwa mara nne mfululizo katika uchaguzi mkuu wanashindwa hata kupata mbunge mmoja au hata asilimia 3% ya kura zote zinazopigwa na wananchi.

Ni busara sasa kwa viongozi wa vyama kuondoa aibu na ubinafsi sasa na kuona wataweza vipi kuunganisha utaalam, uzoefu, rasilimali ili kuleta mapinduzi ya kweli dhidi ya CCM.

Ya, ni kweli hivi vyama vidogo vidogo ambavyo vimekuwa around toka uchaguzi uliopita na havijafanya chochote cha maana ni heri wangejiunga na wengine. Tukirudi kwenye hoja ya Mbatia, naona tatizo lake ni hilo hilo kwamba akiwa kwenye chama anataka yeye ndio awe kinara ndio maana inakua vugumu kujiunga na wenzake. Tatizo hili Mrema na Cheyo wanalo vile vile[/QUOTE]

Suala la Ruzuku inawaumiza vichwa vyama vyote vya Siasa. Halafu Cham,a cha cheyo kina wanachama? Au ni yeye peke yake?
 
Back
Top Bottom