Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

Wakuu SEASON 2 ipo njiani, natafuta muda sahihi wa kuiandika kwa utulivu zaidi, ila guys hii story sehemu ilipofikia sikudhania hata, Yani hadi mm mwenyewe naisubiria kwa hamu siku nitakayoanza kuiandika

Kwa kuwadokeza tu, kwenye SEASON 2 ya hii story tegemeeni kulisikia Jina la Caryn mara kwa mara, Annie tumemkosa kwenye SEASON 2 hatutamsikia sana kama kwenye SEASON 1, Accountant kama kawaida ndani ya nyumba

Lakini pia, Kuna character mwingine ameongezeka, huyu naweza kumuita Opportunist
 
Dah! Annie imekuaje tena? Anyway shusha vitu Mkuu, shauku yangu mm ni kujua yule Dogo wa Buguruni anaendeleaje
 
Wakuu SEASON 2 ipo njiani, natafuta muda sahihi wa kuiandika kwa utulivu zaidi, ila guys hii story sehemu ilipofikia sikudhania hata, Yani hadi mm mwenyewe naisubiria kwa hamu siku nitakayoanza kuiandika

Kwa kuwadokeza tu, kwenye SEASON 2 ya hii story tegemeeni kulisikia Jina la Caryn mara kwa mara, Annie tumemkosa kwenye SEASON 2 hatutamsikia sana kama kwenye SEASON 1, Accountant kama kawaida ndani ya nyumba

Lakini pia, Kuna character mwingine ameongezeka, huyu naweza kumuita Opportunist
We are waiting....Take your time.
 
Kwamba jamaa anatupanga, hakuna uhalisia wowote
ni riwaya hi tu Mara nyingi watu wenye Mikasa ya Kweli hawamo uku jf na hawajui pa kwenda kusimulia Mikasa yao wkt mwingine anawasimulia watu wa bak then hao wanAenda kutengeneza Kama yakwao.

Fatilia story nyingi ,nying utakuta Ni umahiri wa utunzi tu hkn kipya.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
ni riwaya hi tu Mara nyingi watu wenye Mikasa ya Kweli hawamo uku jf na hawajui pa kwenda kusimulia Mikasa yao wkt mwingine anawasimulia watu wa bak then hao wanAenda kutengeneza Kama yakwao. Fatilia story nyingi ,nying utakuta Ni umahiri wa utunzi tu hkn kipiya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama ni riwaya basi jamaa atakuwa anajua kutupanga, maana anatupa na updates kabisa ya kinachojiri, kwamba Mzee alisafiri na ndio sababu ya story kustop, Mzee alivyorudi na akatupa na taarifa, hii imekaaje mkuu?
 
Jamani Uzi umekumbwa na nn tena?
BM X6 umekumbwa na popobawa?...au Caryn kasoma Uzi akakuchimba biti,njoo bana umaliziage,watu tunataka kujua kunani man
 
Back
Top Bottom