MTAtiro grandson
Member
- Aug 18, 2019
- 80
- 177
Twende pamoja na Mimi
Je, ulishawahi kujiuliza kuwa kwanini kila mtoto mdogo anayezaliwa anakuwa amekunja ngumi? Hii ni kwasasabu HATIMA yake anayo mwenyewe.
Katika kulitambua hili Kuna Mambo ya msingi ya kufahamu:
1. Unaweza kukutana na Mambo magumu sana sana na ya kukatisha tamaa anayeweza kukutoa hapo ni wewe kujitambua na kusimama imara na kumwomba Mungu na tofauti na hapo mama, baba, mpenzi, ndugu ama mtoto hawezi kukusimamia yule ni mwanadamu ni Kama maua yanakuwa na harufu nzuri Mara yananyauka na kukosa harufu nzuri ndivyo alivyowamadamu.
2. Katika mafanikio usijaribu kuwaza umri ama umepoteza muda gani pale unapogundua nafasi (opportunity) anza hapo hapo bila kuwa na wasiwasi songa mbele.
3. Tambua thamani iliyo ndani yako ambayo wakati unazaliwa uliishikilia.
Asante tunaendelea kesho tena. Ubarikiwe sana