Hatma ya karamagi na msabaha baada ya ccm kujivua gamba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatma ya karamagi na msabaha baada ya ccm kujivua gamba!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kipindupindu, Apr 22, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakuu hawa jamaa wawili hawaonekani kuguswa na uvuaji gamba wa ccm.
  Unadhani watasalimika na mchakato huu wa kujichuna gamba?
   
 2. G

  GJ Mwanakatwe JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo kujivua gamba ni kuondolewa katika nafasi ya uongozi tu, hivyo kwa mwendo huo wao wapo salama mpaka pale itakapoamriwa kwamba watuhumiwa wote wanafikishwa mahakamani ili tuhuma zikathibitishwe ndio wanaweza kuguswa.
   
 3. MANAMBA

  MANAMBA Senior Member

  #3
  Apr 22, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Endapo Lowassa anatajwa kuhusika na Richmond, haiwezekani Karamagi na Bangusilo wakabaki salama vinginevyo kinachovuliwa itabidi kiitwe jina jingine na siyo gamba tena.
   
Loading...