Yales
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 517
- 527
We jamaa huna Ubongo, Yani Huu ujinga ndio unaturudisha nyuma waafrikaAtakaye ibariki,Israel atabarikiwa na atakayeilaani Israel atalaaniwa.Mungu natubu kwa niaba ya Taifa utusamehe na laana hii
We jamaa huna Ubongo, Yani Huu ujinga ndio unaturudisha nyuma waafrikaAtakaye ibariki,Israel atabarikiwa na atakayeilaani Israel atalaaniwa.Mungu natubu kwa niaba ya Taifa utusamehe na laana hii
=========Sorry Mkuu katika hili uhuru ni hoja ya msingi lakini sio kipaumbele, Hapa hoja yenye kipaumbele ni Ukweli tena ukweli kuhusu Yerusalem kua ni mji mkuu halali wa Israeli kihistoria.
Uamuzi wa kusimama na Ukweli hauna uhusiano wowote na kua au kutokua kibaraka wa Marekani,Marekani haiwezi kudai umiliki wa ukweli, Ukweli ni wa Mungu na kila anaeukubali, mweusi mweupe, wanjano, mwekundu wote bila kujali ni wamarekani au sio.
La pili Ushoga this is simply morally wrong na hoja ya kuukataa inajengwa kwanza katika misingi kua ni uovu ambao una matokeo hasi kabisa kwa jamii baada ya hapo sasa labda ndio unaweza ukaleta hoja ya uhuru.
Tatizo ni kua hatuna misingi sahihi ya ndani ya kufanya maamuzi mara nyingi tunachemsha kwenye maamuzi sababu maamuzi mengi tunayoyafanya ni relative decisions, maamuzi yanayotokana na ushawishi wa nje kama vile tutaonekanaje, akina nani wanasema nini, watu wengi wanasemaje,upepo unakwendaje?badala ya msukumo wa ndani kwanza kama ukweli ni upi, jambo sahihi la kufanya ni lipi n.k
Mpaka tumefika mahali pa kua na misingi ya kweli ya kufanya maamuzi tutakua viongozi jina tuu, Miaka hio ya nyuma Uongozi wa Tz uliokua na tija ulitokana na kusimamia ukweli na kufanya maamuzi not for the sake of just being a leader lakini kufanya maamuzi yaliyotokana na ukweli. Sasa ivi tumebaki na jina tu peke yake, akitokea mwingine anaefahamu na kuusimamia ukweli ndio ivyo tena tunapotezwa mbaya.
Bottom line Inawezekana kabisa Kusimama na Israeli na bado ukawa huru, Kukataa Ushoga na Ukawa huru Yote yanawezekana kabisa.
Kwa hiyo kama hao Waisrael huwajui imetokea je ukawajua wapalestina?Bullshit na ulaaniwe mwenyewe...
Hao israeli mimi siwajui wala wao hawanijui.
Yan nipoteze muda na watu tusiojuana kisa migogolo yao binafsi??
Mimi siwajui waparestina wala waislaeli wote nawasikia tu kwenye taarifa ya habari na vitabu....kwahio mimi sina bond yoyote na waisraeli hadi iwe eti nikiwa mind eti nalaaniwa.. kama kulaaniwa atalaaniwa anayeamina hayo mambo ya ajabu...Kwa hiyo kama hao Waisrael huwajui imetokea je ukawajua wapalestina?
Shangaa ndugu yangu!Mimi siwajui waparestina wala waislaeli wote nawasikia tu kwenye taarifa ya habari na vitabu....kwahio mimi sina bond yoyote na waisraeli hadi iwe eti nikiwa mind eti nalaaniwa.. kama kulaaniwa atalaaniwa anayeamina hayo mambo ya ajabu...
Yani watu wapigane kwa sababu zao alafu mimi nilaaniwe sababu sijamsupport mpuuzi mmoja..
Huu ujinga sijui watu wanautoa wapi
Hahahaaaa mkuu kuna watu wa ajabu sana dunia hiiShangaa ndugu yangu!
Jitu zima kabisa pengine lina watoto na mke juu.
Bila ya aibu anakwambia Tanzania tutalaaniwa kisa hatujaitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.
Yani mtu kajijaza ujinga mpaka unamuonea huruma ukimfikiria.
Unashindwa hata kujua uanzie wapi kumtoa ujinga aliojijaza kwenye ubongo wake.
Tuwavumilie tu kwakweli.Hahahaaaa mkuu kuna watu wa ajabu sana dunia hii
Utakuta ni jitu limesoma na lina jicheo jikubwa serikalini lakini jiakili lake limejazwa pumba ndani.Shangaa ndugu yangu!
Jitu zima kabisa pengine lina watoto na mke juu.
Bila ya aibu anakwambia Tanzania tutalaaniwa kisa hatujaitambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel.
Yani mtu kajijaza ujinga mpaka unamuonea huruma ukimfikiria.
Unashindwa hata kujua uanzie wapi kumtoa ujinga aliojijaza kwenye ubongo wake.
MmMazee Tanzania ina influence bado. Labda Magufuliaiharibu tu.
Ban Ki Moon alipata kuwa Katibu Mkuu UN kwa sababu ya kampenikubwa ya Kikwete kushawishi nchi za Afrika zimkubali kwamba huyu ni mtu wetu.
Ndiyo maana Ban Ki Moon alivyopata kuwa SG, akamwambia Kikwete, nipemtu wako aje kuwa Under secretary General hapa UN. Ndipo Kikwete akampa shavu Mama Migiro.
Ila Mama Migiro kufika Turtle Bay, akaendekeza siasa kamaza CCM, mkubwa akae juu, mdogoamfuate mkubwa. Wakati pale ni siasa za ku network kwa sana.
Wakampiga chini.
Tanzania lazima wawe na rafiki zao Wapalestina. Tuna historia ndefu ya kupinga Uzayuni na Ukaburu.
Hawa Israel walimkosesha SalimAhmed Salimkuwa Katibu Mkuu wa kwanza wa UN kutoka Afrika.
Ningeshangaa sana Tanzania ingebadili msimamo wa mudamrefu kwenye hili.
Tunawang'ang'ania waarabu hakuna walichotusaidia wala hawawezi. Tunaacha kuwa karibu na watu wenye akili. Bure kabisa
Wewe ni mbaguziTunawang'ang'ania waarabu hakuna walichotusaidia wala hawawezi. Tunaacha kuwa karibu na watu wenye akili. Bure kabisa
Definitely, you are one of those brain rotten african diaspora!Tanzania is insignificant country
TUJITEGEMEEKuna msaada wa Israel kupanua hosp ya Mkapa dodoma. Kwa kura hii sijui kama wataendelea. Hawa viongozi sijui vipi!
Magufuli Magufuli Magufuli! Hivi hamchoki????? sasa jina la Magufuli limekuwa kama hadithi ya yule kipofu aliyejaaliwa kuona kwa muda mchache tu na bahati mbaya alimuona tembo. Hivyo baada ya upofu kumrudia ikawa kila anachohadithiwa anafananisha na tembo.Mazee Tanzania ina influence bado. Labda Magufuliaiharibu tu.
Ban Ki Moon alipata kuwa Katibu Mkuu UN kwa sababu ya kampenikubwa ya Kikwete kushawishi nchi za Afrika zimkubali kwamba huyu ni mtu wetu.
Ndiyo maana Ban Ki Moon alivyopata kuwa SG, akamwambia Kikwete, nipemtu wako aje kuwa Under secretary General hapa UN. Ndipo Kikwete akampa shavu Mama Migiro.
Ila Mama Migiro kufika Turtle Bay, akaendekeza siasa kamaza CCM, mkubwa akae juu, mdogoamfuate mkubwa. Wakati pale ni siasa za ku network kwa sana.
Wakampiga chini.
Tanzania lazima wawe na rafiki zao Wapalestina. Tuna historia ndefu ya kupinga Uzayuni na Ukaburu.
Hawa Israel walimkosesha SalimAhmed Salimkuwa Katibu Mkuu wa kwanza wa UN kutoka Afrika.
Ningeshangaa sana Tanzania ingebadili msimamo wa mudamrefu kwenye hili.
Hii misaada ya kupewa na wanafiki ndio iliosababisha babu yangu kutumikishwa na mkoloni . we kwa fikra zako wayahudi wanatoa misaada kwa sababu ya kutupenda sana sisi watanzania au?Kuna msaada wa Israel kupanua hosp ya Mkapa dodoma. Kwa kura hii sijui kama wataendelea. Hawa viongozi sijui vipi!
HahahhaaaaaaaaKwahiyi tz na sisi tumelaaniwa na mungu maana biblia inasema atakaye ipinga Israel watalaaniwa hadi vizazi vyao.. Hvyo Tanzania tumelaaniwa
Mi ndio maana naonaga vigumu sana kuzielewa dini....
Wewe ni mbaguzi