<br />
<br />
mkuu,naona web yao inagoma kufunguka saivi mda wa jioni ndio wameweka admitted students na kiasi cha mkopo kwa all admitted students na wale ambao hawakupata,kila kitu kipo hewani
Wazee hebu nisaidieni,vip kwa wale waloambiwa na tcu kufanya re-selection of programs je majina yao yametoka sasa au hadi awamu ya pili? Nisaidien jaman kwa wale wenye taarifa sahih
Vijana ondoeni mashaka matokeo yameshatoka mi nimewaangalilia wadogo zangu wamepata udsm/coet/conas pale udsm wameandika pamoja na percentage ya mkopo, pia wametenga list A kwa waliopata and list B kwa waliokosa also wamepanga majina kierufi from A-K and so on.note:waliokosa loan allocation ni wengi sana,mda wa jioni ilikua inafunguka vizuri,but kwa sasa naona haifunguki.
Duuuuh! emb msaada zaid jamen yan cjielewi now! i dont understand any thing yan dah! jaman plz nichekien jina Ambumbulwisye Asukile tafadhar na samahan kwa usumbufu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.