HatimayeTcu watowa majina ya waliochaguliwa elimu ya juu na kiwango cha mkopo

Status
Not open for further replies.
Majina yako katika makundi mawili A na B. Kundi A ni la wale waliobahatika kupata mkopo alihali kundi B hawatapata mkopo.
 
Mbona nimechek kwenye web yao but hakuna jipya?<br />
Kama vipi hebu dondosha link hapa!
<br />
<br />
mkuu,naona web yao inagoma kufunguka saivi mda wa jioni ndio wameweka admitted students na kiasi cha mkopo kwa all admitted students na wale ambao hawakupata,kila kitu kipo hewani
 
Asante lakini naona website ya TCU kuna traffic jam itakuwa shida kuona labda hadi usiku wa manane.
 
Km kuna anayeweza link hapa , tusaidien wadau km mlivyofanya matokeo ya f6
 
Please are u serious guys? Najaribu kuifungua web yao haifunguki,. Inagoma. Kwa wale waliofungua wameprove kabisa au?
 
Wazee hebu nisaidieni,vip kwa wale waloambiwa na tcu kufanya re-selection of programs je majina yao yametoka sasa au hadi awamu ya pili? Nisaidien jaman kwa wale wenye taarifa sahih
 
Vijana ondoeni mashaka matokeo yameshatoka mi nimewaangalilia wadogo zangu wamepata udsm/coet/conas pale udsm wameandika pamoja na percentage ya mkopo, pia wametenga list A kwa waliopata and list B kwa waliokosa also wamepanga majina kierufi from A-K and so on.note:waliokosa loan allocation ni wengi sana,mda wa jioni ilikua inafunguka vizuri,but kwa sasa naona haifunguki.
 
wajamen, swali la msingi na matofali, kuhusu, wale walio re-select programmez vp nao wapo, au bado wasubiri subiri kwanza?!...
 
Duuuuh! emb msaada zaid jamen yan cjielewi now! i dont understand any thing yan dah! jaman plz nichekien jina Ambumbulwisye Asukile tafadhar na samahan kwa usumbufu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom