Hatimaye Zitto Kabwe kuvunja ukimya, kuzungumza na Taifa kesho Jumapili

Nimependa mwenendo viongozi kambi upinzani Mbatia Nccr na Lipumba CUF wameongea vema suala la Mbowe.Natumai ZZK pia sauti yake itasaidia pia watesi kukuona wapo uchiii.Nawaona CCM bado wanamtumia Mzee Cheyo justify eti wanawashirikisha vyama katika matukio kitaifa.
Chauma pia huwa anafunguka vizuri sana
 
Kuhusu gaidi FEKI Mbowe kabambikiwa kesi, Katiba mpya ila la kujitoa Serikali ya umoja sahau hilo labda kama hawana sauti kwenye hiyo Serikali haramu ya Zenj basi pia atatangaza ACT Wazalendo kujiengua.
Hana uwezo wa kujiengua SuK
Walishajifunza kutokana na makosa
Zitto atapiga kelele tu za siku zote ili na yeye aonekane yupo hakuna jipya
 
Muulize mwenyekiti wa CCM.
Wanachama, wapenzi na mashabiki wa CCM ndio jamii/jumuiya inayoongoza kwa unafiki duniani.

Chanjo inachagua vyama? Vimelea hivi vya unafiki vinayo ngufu kuliko hii 666 aka corona. Vimemkaba mpaka na yule mh darasa la 7 /ly maarufu nchini.
 
Waha na sala zao .....itokee kama lile.....aende zake Muha awe Presidaa.....nfio kiko akilini mwao kwa sasa
.....
 
Anazungumza na TAIFA gani? TANZANIA? yeye kama nani?
Haya maswali mengine mnauliza kama vile mna umri wa miaka 5! Kwa hiyo hapo ulipo hujui Zitto ni nani, ana wadhifa gani/ni kiongozi wa nini, na ni mwananchi wa Taifa gani siyo!!
 
Back
Top Bottom