barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,726
- 32,816
Hii kitu ya ZIKA kuwepo Tanzania naona sasa imevuka mipaka ya nchi kwa kasi sasa.Sasa hapa ndio tunaona kazi ya vyombo vya habari vya nje kwenye mambo kama haya yanapotokea ktk nchi za Afrika.
Baada ya BBC,sasa na CCTV nao wameikomalia issuei hii.Hii sasa inazidi kupata "coverage" huko duniani.Huku NIMRI wanasema yao,huku Waziri na Wizara wanasema yao wakishirikiana na WHO.
Lakini huko "duniani" watu wanazidi kusambaza habari kweli Tanzania si salama tena,maana mdudu wa ZIKA anataradadi.Inahitaji umakini kukabiliana na suala hili.