Hatimaye ya Zitto na JWTZ yatimia

hiyo sio kazi ya JWTZ wanatakiwa kushtakiwa. Msiwe mnatetea tu mambo na uvunjaji wa sheria ireja reja. Hata kama ni pro Upinzani ukishabkia mambo kama hayo jua hata wapinzaniw akichukua nchi watahsindwa kutawala na kuongoza.

Adui njaa na magonjwa anauwa watu wilayani JWTZ haifanyi kitu sembuse mafuta ambayo haytoi uhai ndio .unashabikia madudu ya JWTZ bla kutazama upana wa issue yenyewe .

Kama ni kweli JWTZ wamefanya hivyo wanatakiwa kukemewa na waambie waache siasa kwa wanasiasa.


Mmeshindwa kuwashitaki hao waliogoma kuuza mafuta, wanaoiba mali ya uma na wanaojinufaisha na pesa za walipa kodi, Eti wanajeshi wakashitakiwe, kisa kutetea haki, Nchi hii ukiwatetea watu unaoneka mhalifu ee, powa tu yana mwisho haya.
 
swala la mafuta ni la kisiasa njie ndio mnao changanya siasa na maendeleo.

we tetea tu siku wana JWTZ wamechapa bakora ndugu zako sababu mmoja kaibiwa mtaani ndio utaelewa. Siungi mkono vituo kugoma lakini hao wajeshi waliolazimisha wanatakiwa kufikishwa kujieleza.


PUMBXXXX. Mmeshindwa kuwashitaki hao waliogoma kuuza mafuta, wanaoiba mali ya uma na wanaojinufaisha na pesa za walipa kodi, Eti wanajeshi wakashitakiwe, kisa kutetea haki, Nchi hii ukiwatetea watu unaoneka mhalifu ee, powa tu yana mwisho haya.

Aksante kwa kuniita pumbafu. Mimi kwenye wialya wetu ndio mjinga naamin wewe ndio menye IQ kubwa zaidi katika wilaya yenu . Tee teh teh. Na nashukuru inteligent wewe umepata muda wa kujibu pumbafu mtaateh teh teh teh

Hahahahha Vipi walimu wakigoma kufundisha mbona JWTZ hawalazimishi kufundisha. . Vipi madaktari wakigoma mbona hawalazimishwi ?

Msistee tu mambo bila kujua sheria na scope na wajibu wa kila taasisi.

Kesho serikali ya CCM au CDM ikipinduliwa na wanajeshi sababu wamegoma kupandisha mishaara utasemaje?
 
Jana NJAKE kituo cha Kona ya Mbauda waliuza mafuta kwa Amri ya Jeshi

Tusiongee kama wajinga na kuitetea jwtz. Mafuta yakishateremshwa kwenye gari kuna muda maalum ambao lazima upite ndio yauzwe otherwise mtauziwa mapovu au pungufu. Kila jambo na utaalam wake. jw kwao ni porini ndio maana lile zoezi la majangili walilifacki kwa sababu hawawezi ku reason bila amri. kule jeshini huwezi kuua adui bila kupewa amri kwasababu ma afsa wanajua askari hana uelewa au akili. msishabikie lawlessness ndani ya nchi. kumbxxxxz
 
Back
Top Bottom