Hatimaye ya Zitto na JWTZ yatimia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye ya Zitto na JWTZ yatimia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Janja PORI, Aug 12, 2011.

1. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#1
Aug 12, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 805
Likes Received: 49
Trophy Points: 45
Jana NJAKE kituo cha Kona ya Mbauda waliuza mafuta kwa Amri ya Jeshi

2. Mamaya

Mamaya JF-Expert Member

#2
Aug 12, 2011
Joined: Jul 4, 2011
Messages: 3,687
Likes Received: 371
Trophy Points: 180
Nimeipenda hii ya jwtz

3. TUKUTUKU

TUKUTUKU JF-Expert Member

#3
Aug 12, 2011
Joined: Sep 14, 2010
Messages: 11,849
Likes Received: 40
Trophy Points: 145
Hongera Zitto kwa mawazo yako!!

4. Ndumbayeye

Ndumbayeye JF-Expert Member

#4
Aug 12, 2011
Joined: Jan 31, 2009
Messages: 4,227
Likes Received: 685
Trophy Points: 280
ndo wapi huko?

5. Elli

Elli JF-Expert Member

#5
Aug 12, 2011
Joined: Mar 17, 2008
Messages: 24,969
Likes Received: 6,517
Trophy Points: 280
mmh ni Tanzania kweli huko, hebu tupatie jina la wilaya au hata mkoa na sio jina la balozi wa mtaa huo pls. Asante kwa taarifa

6. Bushbaby

Bushbaby JF-Expert Member

#6
Aug 12, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 1,541
Likes Received: 25
Trophy Points: 145
Ilikuwa saa ngapi? na waliuza kwa muda gani? coz jana asb walikuwa wamefunga na leo pia wamefunga...

7. ndenga

ndenga JF-Expert Member

#7
Aug 12, 2011
Joined: Dec 20, 2010
Messages: 1,634
Likes Received: 243
Trophy Points: 160
Hii ni mojawapo ya maamuzi magumu!! ambayo kama tungekuwa tunayachukua nchi ingefika mbali sana... safi sana!

8. Kaka Sam

Kaka Sam JF-Expert Member

#8
Aug 12, 2011
Joined: Jul 29, 2009
Messages: 543
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Njake-kona ya mbauda ni arusha jamani kama unaelekea airport ndogo ya kilimowanga au magereza au kwa ngurumo ya upako.... kumbe arusha kubwa

9. Mtazamaji

Mtazamaji JF-Expert Member

#9
Aug 12, 2011
Joined: Feb 29, 2008
Messages: 5,972
Likes Received: 28
Trophy Points: 0
hiyo sio kazi ya JWTZ wanatakiwa kushtakiwa. Msiwe mnatetea tu mambo na uvunjaji wa sheria ireja reja. Hata kama ni pro Upinzani ukishabkia mambo kama hayo jua hata wapinzaniw akichukua nchi watahsindwa kutawala na kuongoza.

Adui njaa na magonjwa anauwa watu wilayani JWTZ haifanyi kitu sembuse mafuta ambayo haytoi uhai ndio .unashabikia madudu ya JWTZ bla kutazama upana wa issue yenyewe .

Kama ni kweli JWTZ wamefanya hivyo wanatakiwa kukemewa na waambie waache siasa kwa wanasiasa.

10. VoiceOfReason

VoiceOfReason JF-Expert Member

#10
Aug 12, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 5,236
Likes Received: 25
Trophy Points: 0
Na hii mnaona ni hatua nzuri.., kweli kuna wakati tunachokiomba hatukijui....

Hivi hii ina tofauti gani na Udikteta..., Jeshi na biashara na vitu viwili tofauti kama mtu hataki kuuza apewe penalty za kibiashara kama kunyanganywa leseni na sio kulazimishwa na jeshi kuuza mafuta

11. lukindo

lukindo JF-Expert Member

#11
Aug 12, 2011
Joined: Mar 20, 2010
Messages: 6,993
Likes Received: 4,122
Trophy Points: 280
hii tunaweza kuiona ni nzuri kwa sasa lakini matokeo yake ndilo balaa tunalolisubiri. Mafuta kama biashara nyingine yoyote ni soko huria na wala hutupaswi kuwalazimisha wauzaji kuuza, tatizo ni usimamizi mbovu ambapo huu mgomo ni dalili tu ya matokeo ya uzembe huu.
Nimefuatilia vurugu za Uingereza juzi na walikuwa wanasema ikizidi sana ndio wanaweza kuomba msaada wa jeshi kwa vile ilikuwa ikihusisha uvunjaji wa sheria waraia kutumia
na nguvu, lakini biashara ni tofauti kabisa.

12. Gama

Gama JF-Expert Member

#12
Aug 12, 2011
Joined: Jan 9, 2010
Messages: 7,343
Likes Received: 446
Trophy Points: 180

na amiri jeshi mkuu ameridhia jeshi likandamize wananchi na lidekeze serikali?!, huku ni kutumia "MASABURI" kufikiri. Serikali inatakiwa kutumia madaraka yake vizuri na si kuruhusu mabavu katika kuhudumia raia wake.

13. BABA JUICE

BABA JUICE JF-Expert Member

#13
Aug 12, 2011
Joined: Sep 5, 2010
Messages: 429
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
swala la mafuta ni la kisiasa njie ndio mnao changanya siasa na maendeleo.

14. k

kipira Senior Member

#14
Aug 12, 2011
Joined: Aug 5, 2009
Messages: 132
Likes Received: 28
Trophy Points: 45
We vipi unadhani kila mtu yupo Arusha!

15. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#15
Aug 12, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 22,230
Likes Received: 9,250
Trophy Points: 280

NI ARACHUGA CHALII ANGU! NA HAPA DASLAM WANGEFANYA HIVYOHIVYOOO HATA KAMA SOME OF HIVYO VITUO VINAMILIKIWA NA MTOTO WA AMIRI JESHI WAO MKUU, TEHEHEHE BUT THANK ALLAH ITS OVER NOW!

16. Janja PORI

Janja PORI JF-Expert Member

#16
Aug 12, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 805
Likes Received: 49
Trophy Points: 45

me nimepata mafuta nw

17. Njowepo

Njowepo JF-Expert Member

#17
Aug 12, 2011
Joined: Feb 26, 2008
Messages: 9,240
Likes Received: 325
Trophy Points: 180
Wapi Shimbo atusaidie kupiga biti ili jamaa waache mgomo

18. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#18
Aug 12, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 22,230
Likes Received: 9,250
Trophy Points: 280

ANATAFUNA ZILE TRILLIONS AKIMALIZA ATARUDI

19. Kituko

Kituko JF-Expert Member

#19
Aug 12, 2011
Joined: Jan 12, 2009
Messages: 7,603
Likes Received: 3,902
Trophy Points: 280
Hii inaprove kabisa kuwa hii nchi inaendeshwa kijeshi, ni kweli tunaweza kuona ni kitu kizuri lakini unapotumia jeshi basi nchi imeshatangaza hali ya hatari,
njia ambayo serikali ingetumia ni kuvifungia vituo na kuwashitaki hao wenye vituo kwa kukiuka Amri halali ya serikali, vinginevyo kama Serikali imeamua kutumia nguvu bas wangetumia hata FFU, kama ilivyokuwa ule mgomo wa kiwanda cha sukari miaka ile,

Nadhani wanajeshi walitumia nguvu na wala sio Agizo Rasmi

20. L

LEX STEELE JF-Expert Member

#20
Aug 12, 2011
Joined: Jul 16, 2011
Messages: 211
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mbona mambo ya RUSHWA za Richmond hawatoi amri ?

Loading...