Hatimaye waziri adhibitisha viongozi walivyo wezi.

vicenttemu

Member
Nov 16, 2010
43
0
Waziri wa Nchi ofisi ya rais na utawala mbovu, Mathias Chikawe amedhibitisha wazi kuwa viongozi wetu ni wezi na waongo wakubwa. Chanzo, Raia Mwema tarehe 8, Dec
 
Yeye hajajitaja ila ni kwamba wanataja mali za uongo kwa mujibu wake. Naikubali coz hata Six alisema hili hasa wamiliki watatu wa Dowans.
 
Ndiyo halisi anaijua lakini miaka yote 5 kama Minister mbona alikaa kimya bila kutafuta sheria inayodhibiti ni MANENO TU huyo
 
Yeye hajajitaja ila ni kwamba wanataja mali za uongo kwa mujibu wake. Naikubali coz hata Six alisema hili hasa wamiliki watatu wa Dowans.

Kwani viongozi wakitaja mali si wanaorodhesha, wanaweka ndani ya bahasha na kukabidhi tume ya maadili. Sasa waziri huyu amezifungua na kugundua kuwa hawajataja zote? Hii nayo ni propaganda za kujitangaza tuu!!!!
 
Waziri wa Nchi ofisi ya rais na utawala mbovu, Mathias Chikawe amedhibitisha wazi kuwa viongozi wetu ni wezi na waongo wakubwa. Chanzo, Raia Mwema tarehe 8, Dec

Ingekuwa na maana sana kama angetaja kwa namna ifuatayo; Lakini

SN JINA CHEO ALICHOWAHI KUIBA MWAKA
1. EL XXX DOWANS/EPA/ etc 1990 to date
2. RA XXXX As above As above
3. BWM Alikuwa rais As above plus kiwira Kipindi chote cha urais
4.

Etc… etc… Etc… etc… Etc…etc… Etc…etc……
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom