Hatimaye Wavuvi wa Kenya waliokuwa wakishikiliwa Tanzania waachiwa huru

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397

Wavuvi 15 raia wa Kenya waliokamatwa na kushikiliwa Tanzania kwa tuhuma za kuvuka mpaka ndani ya Ziwa na kuvua eneo la nje ya nchi yao waachiwa huru

Wamekamatwa baada ya kulioa faini ya kiasi cha Shilingi milioni 3.4. Wamekabidhiwa Boti na vifaa vyao vya uvuvi vilivyokuwa vikishikiliwa

Faini hiyo inayodaiwa imelipwa bila ya kukatiwa risiti imetolewa na Wamiliki wa boti hizo wa uvuvi

Wavuvi hao watokea kiswa cha Remba kilichopo ndani ya Ziwa Victoria upande wa Kenya


======

The 15 Kenyans who had been detained in Tanzania on accusations of illegal fishing were finally released on Monday after paying a total fine of Sh150,000.

They were arrested last Thursday, while going about their regular activities, by armed Tanzanian officials.

Edward Oremo, Homa Bay County Beach Management Unit Network chairperson, said the fishermen were also given their five boats and gear.

NO CHARGES

The release followed negotiations between security officials and the fishing community from Remba Island where they were from.

Mr Oremo said the Sh150,000 was contributed by boat owners who operate in Lake Victoria.

RELATED CONTENT

15 Kenyan fishers still held in Tanzania
Police arrest 16 Tanzanian fishermen in Migori
Kenyans want Tanzania’s ban on fishing gear lifted
Ban Tanzania, Somalia fish, Uhuru told
The cash - Sh30,000 per boat - was paid to Tanzanian security officers and no receipt issued.

Suba North divisional police commander, Charles Mwangi, earlier said they were not officially informed of the arrest and release of the fishermen.

Mr Oremo said the men, also accused of using unauthorised nets, were not charged in court.

“They were locked up at a security camp within Sota Island from the day of their arrest,” Mr Oremo said.

BOUNDARIES

Mr Oremo complained that most fishermen do not know the boundary with Tanzania.

“Fishermen have difficulties knowing where their countries end. We need guidelines on this,” he said.

The chair also called for government intervention to resolve the differences between Kenyan fishermen and Tanzanian authorities.

“We resolved the problems with Ugandan security personnel. Our fishermen now know the rules of that country. We appeal to the government to help us understand maritime laws in Tanzania,” added Mr Oremo.

Source: Daily Nation
 
Ndio mwendo huo sasa, ni kuwindana kama wanyama wa porini.

Wakati mwingine si kila fine ni chuki lazima mkubali kuvunja sheria haikubaliki, hata wtz wanalipishwa fine, sidhani kama mvuvi huyu angevunja sheria za Kenya angeachwa tuu. Acheni chuki
 
Magu anawaonea saana wakenya maana hawana pumzi ya kwenda nae jino kwa jino

Sent using Jamii Forums mobile app

Watanzania wanaovuka mpaka na kuvua samaki kwenu Rwanda mnawaua kabisa, naomba kwa Kenya tusifikie kwenye kuua wavuvi wanaopitiliza, hebu ona hii video mlivyowaua Watanzania tisa japo issue yote ikapigwa kimya kwa ajili ya uswahiba wa wakulu

 
Watanzania wanaovuka mpaka na kuvua samaki kwenu Rwanda mnawaua kabisa, naomba kwa Kenya tusifikie kwenye kuua wavuvi wanaopitiliza, hebu ona hii video mlivyowaua Watanzania tisa japo issue yote ikapigwa kimya kwa ajili ya uswahiba wa wakulu

Jitu linalivuka mpaka kinyemera ni lakuua kabisa aise

Vita ni vita mura

Point to note
Tz imewauwa mno raia wa hiyo nchi lkn kama unavyojua watz walivyo wakifanyiwa ubaya huwa wanalalamika saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom