Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

Inaonesha jinsi ulivyokuwa na mawazo ya KIMAGAMBA!Unatakiwa Uwe na Empathy! Acha unyama kiasi hiki! Utakufa bure! Ushindwe na Ulegee! Fataki! Shindwa Shetani!
 
Inaonesha jinsi ulivyokuwa na mawazo ya KIMAGAMBA!Unatakiwa Uwe na Empathy! Acha unyama kiasi hiki! Utakufa bure! Ushindwe na Ulegee! Fataki! Shindwa Shetani!

Lema alionekana chuoni usiku akiwashawishi wagombe, na wao wamesikia mawazo ya MAGWANDA, sasa wacha sie tuwasaidie hapo hakuna unyama wowote, wamejitakia wao wenyewe kwa fikra mgando za kuwasikiliza CDM
 
Hongereni kwa ujasiri.2lipokuwa mliman pale 2liitawa"kikundi cha wahuni wachache"eti ndio kiliwachochea mamia kugoma,duh 2lisota 3 month home!ila pia jifunzen,nyie c mlimchangia kiranja mkuu hela ya kuchukua fomu,mkaudhihirishia uma kuwa nyie wanazi wa CCM,sasa onjeni matunda ya ccm hayo.ccm oyeee!unafik mlouonesha unawasaliti sasa.BA JABIR,nimekupata hapo juu!
 
Hayo ndio madhara yakufuata mawazo ya watu wa MAGWANDA, chuo kimefungwa, hela hamna sasa hapo sijui mtaishije . Ngoja mie nitafute msichana mrembo wa kuwa nae leo kwani najua hivi sasa wanapatikana kwa bei cheap
mawazo yako yanawakilisha (unavyodhani) asilimia ngapi ya Watanzania!?
 
We kweli Taburalasa na kama MAGAMBA yanakutegemea basi wote mmekwisha. Acha maneno ya vijiweni. Kila kinachotokea UDOM mnamtaja kamanda LEMA. Kama we ni genious weka picha hapa ikimuonesha kamanda akiwashawishi. Zero kabisa! Huna hoja! Shindwa shetani!
 
Poleni UDOM, najua tunawapongeza hapa JF lakini mkifika mtaani ndio mtajua gharama halisi ya ukombozi. Sina uhakika kama wote wana nauli za kurudi makwao, na msitegemee kwamba mkifika nyumbani mtapokelewa kama mashujaa, bali itakuwa kinyume chake.
 
Masahihisho: Mkuu hiyo ni college moja tu inaitwa college of humanities and social sciences (CHSS) na siyo college mbili kama ulivyoandika.
 
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma katika College za Social science na Humanities wamepewa muda wa masaa matatu tu kuhakikisha kwamba wanaondoka chuon mara moja. Hii ni kutokana na wanachuo hao kugoma kuingia darasani kwa kutaka kujua ni lini watakwenda field na pia ni lini watalipwa fedha kwaajili ya Field
 
Hebu fafanua, unamaanisha college nzima kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tatu ndo wametimuliwa au ni wale 100 waliotangazwa jana tu???
 
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma katika College za Social science na Humanities wamepewa muda wa masaa matatu tu kuhakikisha kwamba wanaondoka chuon mara moja. Hii ni kutokana na wanachuo hao kugoma kuingia darasani kwa kutaka kujua ni lini watakwenda field na pia ni lini watalipwa fedha kwaajili ya Field

Hivi karibuni Nape si alikuwa hapo chuoni akikagua matatizo mbali mbali, tatizo hili hakuliona? Hizi siasa za kuiiga CDM sijui zitawafkisha wapi?
 
We kweli Taburalasa na kama MAGAMBA yanakutegemea basi wote mmekwisha. Acha maneno ya vijiweni. Kila kinachotokea UDOM mnamtaja kamanda LEMA. Kama we ni genious weka picha hapa ikimuonesha kamanda akiwashawishi. Zero kabisa! Huna hoja! Shindwa shetani!

Ww mpaka leo LEMA hajakanusha na sio kawaida yake hapo ujue anahusika. Na kweli Lema ni kamanda wa jeshi la mashetani la CDM ambalo lina wafuasi finyu na wenye akili mgando, sidhani kama nawe utakosa humo. Sasa wewe ndio wakushindwa na shetani , kama jeshi lake ndilo wewe mwenyewe ni mwanachama hai
 
mkuu hizo ni college mbili tofauti kabisa, social science ni college inayojitegemea na pia humanities ni college inayojitegemea. na wadau wengine naomba muelewe hilo. mdau aliyeleta hii thread yuko sahihi kabisa. Tayari wanafunzi wote wameshaondoka katika eneo la chuo na kwa kweli hali ni shwari kabisa, waandishi wa habari mbalimbali wapo hapa wanakusany taarifa mbalimbali
 
Mbona mnakua wavivu wa kutafuta facts, mnabishana kwa kitu kisicho na mashiko.

The College is Humanities and Social Sciences, which has two schools (School of Humanites, and School of Social Sciences). You can get all this from their website here The College of Humanities and Social Sciences

Unahitaji kujua tofauti kati ya College na School.
 
Hayo ndio madhara yakufuata mawazo ya watu wa MAGWANDA, chuo kimefungwa, hela hamna sasa hapo sijui mtaishije . Ngoja mie nitafute msichana mrembo wa kuwa nae leo kwani najua hivi sasa wanapatikana kwa bei cheap

Ukiandika kwa rangi nyeusi kama kila mtu humu JF husomeki? kwanini unapenda u exceptionalism? Hizi ni moja ya tabia za magamba
 
Jamaa anatumia langi nyekundu kumanisha1.anaongea pumba2.yeye ni gamba3.yeye ni hatari i.e fisadi4.mbakaji i.e fataki5.ameisha athirika na UKIMWI. Muombee labda vyote hana ila ni kichaa.
 
Back
Top Bottom