Enigma
Senior Member
- Feb 29, 2008
- 109
- 62
Habari zinazomiminika sasa hivi zinasema kuwa hoja ya kuupitia mkataba wa TICTS imepita na sasa utaangaliwa. Bado details zinamiminika, hoja hiyo imepita dakika chache zilizopita. Nzi azungukaye katika bunge hilo anasema Karamagi (nasikia ni mmiliki au ana ubia wa TICTS) alijiuma uma...