Hatimaye wa Nigeria warudi makwao

Tatizo wazembe sana nyie, ndio mojawapo wa udhaifu wenu, hampendi kusoma, na ndio maana mnaliwa sana kwenye mikataba, watu wanaficha humo humo mambo muhimu kwenye ukurasa namba 786
Siku yakija ya kuja mnashangaa kumbe ipo kimkataba, mnaanza kulaumu mabeberu.
Hakikisha kila wiki unasoma kitabu kimoja au viwili, pia changia kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii, andika maana hamna kitu kitamu kama uandishi.
Njoo unikute kule Quora uone ninavyoatiririka.
Mimi Ni mtanzania ila Kuna mitanzania Ni Kama mizoga
 
Tatizo wazembe sana nyie, ndio mojawapo wa udhaifu wenu, hampendi kusoma, na ndio maana mnaliwa sana kwenye mikataba, watu wanaficha humo humo mambo muhimu kwenye ukurasa namba 786
Siku yakija ya kuja mnashangaa kumbe ipo kimkataba, mnaanza kulaumu mabeberu.
Hakikisha kila wiki unasoma kitabu kimoja au viwili, pia changia kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii, andika maana hamna kitu kitamu kama uandishi.
Njoo unikute kule Quora uone ninavyoatiririka.
Sisi ni ndugu... Huu ukenya na utanzania utaisha Lini?
 
Pwahahahaha!!!
Weka summary kijana, we have job to do. Ndiyo maana wakenya MNAKUFA KWA NJAA SABABU MUDA MREFU MNAUTUMIA KUANDIKA INSHA BADALA YA KUFANYA KAZI.

Niongeze volume!?

Uandishi pia ni kazi kama hukulijua hilo....
Kuna watu wanaishi mjini maisha full raha kwa kutegemea uandishi.
 
Cha kujifunza, na hiki nimekisema mara nyingi sana, unapokwenda kwenye nchi ya watu siku zote kaa mkao wa tahadhari, haswa kwenye hizi shithole za Kiafrika, kuwa tayari kurudi kwenu dakika yoyote, saa yoyote, huu upumbavu wa kwenda kuzaliana kwenye nchi ya watu, unakuta humo kuna mama anaburuza watoto wanne hana chochote mfukoni.
Nchi yoyote ile ambayo sio kwenu, ishi kwa kujipanga.
Mimi hata kipindi nikiwa huko kwenu Tanzania, japo nilikua najimix, lakini muda wote nilikua makini sana, sikufanya ujinga wa kujiachia na kujipa uhuru kana kwamba niko kwetu, hata mahusiano yoyote yalikua ya juu juu tu, chumbani hamna zaidi ya kitanda na godoro.
Unafaa uhakikishe unazo hela za nauli ya ndege muda wote, pia umesajiri ubalozini, unaye wakili wa nchi husika ambaye yakija ya kuja atakusaidia. Unao marafiki wenyeji wako ambao pia watakua tayari kukusaidia urudi kwenu yakiibuka.
Kuna watu huwa siwaelewi, unafikia nchi nyingine, hujatulia unawaita wanao na mkeo, mnaanza kuishi familia nzima, kwa kweli hilo siliwezi, haswa kwenye haya mataifa ya Kiafrika.
Labda kidogo Ulaya maana wale wana kaustaarabu ka kiana, ukienda kule wewe mtaalam na ukajituma, watakupokea na kukuelewa.
Lakini hizi shithole, hata uwe mtaalam, au unafanya kazi kwenye ubalozini, siku mazombi yakitoka na kuanza kuchinja chinja weusi wenzao, ukikumbana nao wanachana vibali vyako hawataki kujua utaalam wako wala nini, unacharangwa mapanga na kutiwa kiberiti, familia inachinjwa, hawatataka kujua hata kama wewe muwekezaji.
Umeongea point ya msingi sana
 
Ndio kosa hilo, ifahamike siku zote raslimali zikipungua, watu huanza kuonana wabaya, hata ndugu kwenye familia huanza kudhulumiana.
Unakuta, kwa mfano kama mama yako aliolewa kama tayari amekuzaa, yaani unaishi na baba wa kambo, hapo ndugu zako watakaozaliwa baada yako ipo siku watakuzingua wakati wa mirathi.
Binadamu ni mnyama, kila mmoja wetu ana hulka za kinyama, kuna wakati huo unyama hujdhhirisha.
Hebu soma mlichokifanya watu kule Kagera, wazee wameishi Tanzania hata kabla ya uhuru, mliwapakia, wakaacha mashamba, kuku, bata hadi hata mifugo.
Huo upumbavu siwezi, na ndio maana huwa nawahubiria sana Wakenya, tujitahidi kuishi kwa amani, tuboreshe nchi yetu, maana yakija ya kuja tukacharangana mapanga majirani hawa ambao huwa tunacheka nao watatutesa sana. Hebuona juzi mlivyowapakia Warundi na kuwarudisha kwao, wengine naskia walienda Uganda maana kwao hakukaliki, waziri wenu Lugola alitokwa mapovu sana hawataki hao Warundi.
Mkuu kwa hayo uliyoyataja hakuna mkono wa mtanzania wa kawaida katika hayo. Sijawahi kuona mtu anabugudhiwa Tanzania maana tuna ujamaa uliokithiri hadi unaboa mitaani. Bongo hata uje na hiyo sheng sana sana utapendwa tu kama mzee ojwang au inspekta mwala

Wakenya ni wengi tu hapa nchini tena wanajiita wajaluo wa Tz. Hawana vibali na wanaishi vizuri tu. Huko Kagera unapopataja ni kama shamba la bibi kwa wanyarwanda maana wapo kibao tu na wanajinasibisha ni wahangaza au wanyambo lakini hawana utanzania ndani yao na si ajabu hata hawazaliani na mtz wa kawaida

Huko Kigoma napo ni hivyo hivyo. Wamejaa warundi nao wanajiita waha na hawasumbuliwi kwa lolote na wanaishi kwa amani.
 
Hilo ni kosa sana hata kama ni Wakenya wenzangu, leo mpo mpo tu maana liinchi lenu likubwa sana limejaa mapori hayajalimwa, raslimali bado zipo nyingi. Lakini binadamu yeyote yule hubadilika kulingana na uchache wa raslimali.
Hiyo Tanzania pamoja na ukubwa wote huwa wa ardhi, bado utakuta matukio ya watu kudhulumiana, nakumbuka ipo siku Makonda alikua akizuguka kuwahoji wananchi waliodhulumiwa ardhi, tena akiwapa kipaza sauti wanaongea live.

Migogoro ya ardhi ipo kwenu japo sio sana, ni ishara siku raslimali zikipungua, mtaanza kuonana kama wnegine wanavyoonana leo.
Nenda kule Zanzibar ambapo wana ardhi kidogo, wahoji wabongo walionunua huko au kuishi wakuambie jinsi husemwa semwa na Wazenji.
 
Cha kujifunza, na hiki nimekisema mara nyingi sana, unapokwenda kwenye nchi ya watu siku zote kaa mkao wa tahadhari, haswa kwenye hizi shithole za Kiafrika, kuwa tayari kurudi kwenu dakika yoyote, saa yoyote, huu upumbavu wa kwenda kuzaliana kwenye nchi ya watu, unakuta humo kuna mama anaburuza watoto wanne hana chochote mfukoni.
Nchi yoyote ile ambayo sio kwenu, ishi kwa kujipanga.
Mimi hata kipindi nikiwa huko kwenu Tanzania, japo nilikua najimix, lakini muda wote nilikua makini sana, sikufanya ujinga wa kujiachia na kujipa uhuru kana kwamba niko kwetu, hata mahusiano yoyote yalikua ya juu juu tu, chumbani hamna zaidi ya kitanda na godoro.
Unafaa uhakikishe unazo hela za nauli ya ndege muda wote, pia umesajiri ubalozini, unaye wakili wa nchi husika ambaye yakija ya kuja atakusaidia. Unao marafiki wenyeji wako ambao pia watakua tayari kukusaidia urudi kwenu yakiibuka.
Kuna watu huwa siwaelewi, unafikia nchi nyingine, hujatulia unawaita wanao na mkeo, mnaanza kuishi familia nzima, kwa kweli hilo siliwezi, haswa kwenye haya mataifa ya Kiafrika.
Labda kidogo Ulaya maana wale wana kaustaarabu ka kiana, ukienda kule wewe mtaalam na ukajituma, watakupokea na kukuelewa.
Lakini hizi shithole, hata uwe mtaalam, au unafanya kazi kwenye ubalozini, siku mazombi yakitoka na kuanza kuchinja chinja weusi wenzao, ukikumbana nao wanachana vibali vyako hawataki kujua utaalam wako wala nini, unacharangwa mapanga na kutiwa kiberiti, familia inachinjwa, hawatataka kujua hata kama wewe muwekezaji.

Nyumbani ni nyumbani, tatizo la SA ni shida iliyotokana na "apatheid trauma", kabla hakujatulia, wageni wakaingia kwa wingi ikatokea "immigrants trauma"--- sasa wageni wanarejea makwao kitakachotokea ni "tribal crashes" kati ya Xhosa dhidi ya zulu, Wazungu dhidi ya xhosa-zulu, coloured dhidi Wahindi nk, SA itarudi tena katika aina mpya "apartheid" kwa sababu "ADUI" yao wahamiaji watakuwa out of their sight, kitakachokuwa in their sight ni wao kwa wao.

Kiasilia wa Xhosa wanawona Wazulu na Wazungu ni wavamizi.

Baada ya Wahamiaji kurudi makwao, vita ya kupambana na uchumi wa kibaguzi inayofanywa na J Malema itapamba moto kwa kasi kubwa, kwasababu inasemekana vita hiyo haikuwa na nguvu kutokana na wageni kufanya kazi kwa wazungu bila masharti, ilimradi mkono uende kinywani hii iliwachukiza sana Wenyeji.
 
Hilo ni kosa sana hata kama ni Wakenya wenzangu, leo mpo mpo tu maana liinchi lenu likubwa sana limejaa mapori hayajalimwa, raslimali bado zipo nyingi. Lakini binadamu yeyote yule hubadilika kulingana na uchache wa raslimali.
Hiyo Tanzania pamoja na ukubwa wote huwa wa ardhi, bado utakuta matukio ya watu kudhulumiana, nakumbuka ipo siku Makonda alikua akizuguka kuwahoji wananchi waliodhulumiwa ardhi, tena akiwapa kipaza sauti wanaongea live.

Migogoro ya ardhi ipo kwenu japo sio sana, ni ishara siku raslimali zikipungua, mtaanza kuonana kama wnegine wanavyoonana leo.
Nenda kule Zanzibar ambapo wana ardhi kidogo, wahoji wabongo walionunua huko au kuishi wakuambie jinsi husemwa semwa na Wazenji.
Ardhi Tz kwa ujumla wake sio haba ila ardhi kwa baadhi ya sehemu za Tz ni haba mfano kilimanjaro tu..

Kuhusu migogoro ya ardhi kwa ukubwa hutokea sehemu za miji ambazo ardhi ina thamani kibiashara na kimakazi na pia sehemu zilizotokea uvamizi mfano wachungaji wa kuhamahama wanapovamia maeneo ya mashamba.

Kingine kugombania rasilimali ni human nature for survival na hakuna cha kushangaa. Kuhusu ardhi na rasilimali kuwa Idle ni kwa sababu ya uwepo mdogo wa sekta binafsi ambao uliondolewa kwa kiasi kikubwa na ujamaa hivyo vitu vingi vikubwa kama kilimo na ufugaji vilikuwa na umiliki wa serikali au foreigners. Kwa sasa mdogo mdogo kutokana ajira kubana na maisha kuwa ghali hivyo, imeshaanza kuwa kawaida watu kugeukia ujasiriamali kama kilimo biashara..

Hivyo sio mbali tu hivi vilivyo wazi kwa sasa si muda mrefu hutoviona tena. Naongea kama mtu wa kizazi hiki cha sasa.
 
Tatizo wazembe sana nyie, ndio mojawapo wa udhaifu wenu, hampendi kusoma, na ndio maana mnaliwa sana kwenye mikataba, watu wanaficha humo humo mambo muhimu kwenye ukurasa namba 786
Siku yakija ya kuja mnashangaa kumbe ipo kimkataba, mnaanza kulaumu mabeberu.
Hakikisha kila wiki unasoma kitabu kimoja au viwili, pia changia kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii, andika maana hamna kitu kitamu kama uandishi.
Njoo unikute kule Quora uone ninavyoatiririka.

Ni PM jina unalitumia.
 
Wewe si ni pessimist tu, wabongo kibao wamehamishia makazi na familia zao botswana, kenya, ug, rwands, namibia, zambia etc, nchi za,kiafrika zinazojielewa atleast. But you are a negative minded guy.
Tuishi Kwa undugu na amani kama waafrika Sisi ni wamoja maana tukibaguana katika bara letu mabara mengine pia yatatubagua . Tusikubali kutenganishwa na siasa ambazo hazina muelekeo.
 
Ardhi Tz kwa ujumla wake sio haba ila ardhi kwa baadhi ya sehemu za Tz ni haba mfano kilimanjaro tu..

Kuhusu migogoro ya ardhi kwa ukubwa hutokea sehemu za miji ambazo ardhi ina thamani kibiashara na kimakazi na pia sehemu zilizotokea uvamizi mfano wachungaji wa kuhamahama wanapovamia maeneo ya mashamba.

Kingine kugombania rasilimali ni human nature for survival na hakuna cha kushangaa. Kuhusu ardhi na rasilimali kuwa Idle ni kwa sababu ya uwepo mdogo wa sekta binafsi ambao uliondolewa kwa kiasi kikubwa na ujamaa hivyo vitu vingi vikubwa kama kilimo na ufugaji vilikuwa na umiliki wa serikali au foreigners. Kwa sasa mdogo mdogo kutokana ajira kubana na maisha kuwa ghali hivyo, imeshaanza kuwa kawaida watu kugeukia ujasiriamali kama kilimo biashara..

Hivyo sio mbali tu hivi vilivyo wazi kwa sasa si muda mrefu hutoviona tena. Naongea kama mtu wa kizazi hiki cha sasa.

Kwa yote uliyoyasema, cha maana ni hii sentensi 'Kingine kugombania rasilimali ni human nature for survival', binadamu akianza kupungukiwa raslimali, huanza kuonana wabaya, haijalishi yeye wa wapi wala nini.
Hata huko Kusini unakoskia haya yote, ingetokea serikali itimize majukumu yake ya kuhakikisha ajira na maisha bora kwa raia wake, leo hii wangekua wanaitana ndugu na kucheza kwaito kwa pamoja na wageni.

Hamna binadamu special ambaye hawezi akaingiwa na uwazimu pale raslimali zinamuishia.
 
Back
Top Bottom