Hatimaye wa Nigeria warudi makwao

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,598
1,815
335BF602-2DC4-4777-83D1-76CE81F4A48E.jpeg
Reporting from Johannesburg, South Africa 🇿🇦. Ma mia ya raia wa Afrika Kusini wamefunga safari kurudi ma kwao kupitia uwanja wa O.R. Tambo mjini Johannesburg. Kuna jambo la kujifunza katika hili. NAWASILISHA!.
C8E9FED9-0D28-490C-BED1-F88FDF1C6F96.jpeg

8473BA20-A938-4A64-8F3C-4DD9517DC17D.jpeg
 
Wanaijeria bwana yaani wanaenda kupanda mwewe huku wamebeba "asante mjomba"!!!!!!!😂😂😂😂
 
Cha kujifunza, na hiki nimekisema mara nyingi sana, unapokwenda kwenye nchi ya watu siku zote kaa mkao wa tahadhari, haswa kwenye hizi shithole za Kiafrika, kuwa tayari kurudi kwenu dakika yoyote, saa yoyote, huu upumbavu wa kwenda kuzaliana kwenye nchi ya watu, unakuta humo kuna mama anaburuza watoto wanne hana chochote mfukoni.
Nchi yoyote ile ambayo sio kwenu, ishi kwa kujipanga.
Mimi hata kipindi nikiwa huko kwenu Tanzania, japo nilikua najimix, lakini muda wote nilikua makini sana, sikufanya ujinga wa kujiachia na kujipa uhuru kana kwamba niko kwetu, hata mahusiano yoyote yalikua ya juu juu tu, chumbani hamna zaidi ya kitanda na godoro.
Unafaa uhakikishe unazo hela za nauli ya ndege muda wote, pia umesajiri ubalozini, unaye wakili wa nchi husika ambaye yakija ya kuja atakusaidia. Unao marafiki wenyeji wako ambao pia watakua tayari kukusaidia urudi kwenu yakiibuka.
Kuna watu huwa siwaelewi, unafikia nchi nyingine, hujatulia unawaita wanao na mkeo, mnaanza kuishi familia nzima, kwa kweli hilo siliwezi, haswa kwenye haya mataifa ya Kiafrika.
Labda kidogo Ulaya maana wale wana kaustaarabu ka kiana, ukienda kule wewe mtaalam na ukajituma, watakupokea na kukuelewa.
Lakini hizi shithole, hata uwe mtaalam, au unafanya kazi kwenye ubalozini, siku mazombi yakitoka na kuanza kuchinja chinja weusi wenzao, ukikumbana nao wanachana vibali vyako hawataki kujua utaalam wako wala nini, unacharangwa mapanga na kutiwa kiberiti, familia inachinjwa, hawatataka kujua hata kama wewe muwekezaji.
 
Wewe si ni pessimist tu, wabongo kibao wamehamishia makazi na familia zao botswana, kenya, ug, rwands, namibia, zambia etc, nchi za,kiafrika zinazojielewa atleast. But you are a negative minded guy.
 
Ndio kosa hilo, ifahamike siku zote raslimali zikipungua, watu huanza kuonana wabaya, hata ndugu kwenye familia huanza kudhulumiana.
Unakuta, kwa mfano kama mama yako aliolewa kama tayari amekuzaa, yaani unaishi na baba wa kambo, hapo ndugu zako watakaozaliwa baada yako ipo siku watakuzingua wakati wa mirathi.
Binadamu ni mnyama, kila mmoja wetu ana hulka za kinyama, kuna wakati huo unyama hujdhhirisha.
Hebu soma mlichokifanya watu kule Kagera, wazee wameishi Tanzania hata kabla ya uhuru, mliwapakia, wakaacha mashamba, kuku, bata hadi hata mifugo.
Huo upumbavu siwezi, na ndio maana huwa nawahubiria sana Wakenya, tujitahidi kuishi kwa amani, tuboreshe nchi yetu, maana yakija ya kuja tukacharangana mapanga majirani hawa ambao huwa tunacheka nao watatutesa sana. Hebuona juzi mlivyowapakia Warundi na kuwarudisha kwao, wengine naskia walienda Uganda maana kwao hakukaliki, waziri wenu Lugola alitokwa mapovu sana hawataki hao Warundi.
 
Hizi insha ndeeeeefu mnapenda sana kuandika wakenya. Hamna kazi za kufanya!?
Summarize please.
 
Tatizo wazembe sana nyie, ndio mojawapo wa udhaifu wenu, hampendi kusoma, na ndio maana mnaliwa sana kwenye mikataba, watu wanaficha humo humo mambo muhimu kwenye ukurasa namba 786
Siku yakija ya kuja mnashangaa kumbe ipo kimkataba, mnaanza kulaumu mabeberu.
Hakikisha kila wiki unasoma kitabu kimoja au viwili, pia changia kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii, andika maana hamna kitu kitamu kama uandishi.
Njoo unikute kule Quora uone ninavyoatiririka.
 
Nyie mngekuwa mnasoma msingekuwa mnaliwa na wachina kila kona wachina wanawapapasa hatari,
Mkumbafu pekee ndio atakae soma insha zako zinazoeneza chuki na ujinga .
Tatizo wazembe sana nyie, ndio mojawapo wa udhaifu wenu, hampendi kusoma, na ndio maana mnaliwa sana kwenye mikataba, watu wanaficha humo humo mambo muhimu kwenye ukurasa namba 786
Siku yakija ya kuja mnashangaa kumbe ipo kimkataba, mnaanza kulaumu mabeberu.
Hakikisha kila wiki unasoma kitabu kimoja au viwili, pia changia kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii, andika maana hamna kitu kitamu kama uandishi.
Njoo unikute kule Quora uone ninavyoatiririka.
 
Tatizo wazembe sana nyie, ndio mojawapo wa udhaifu wenu, hampendi kusoma, na ndio maana mnaliwa sana kwenye mikataba, watu wanaficha humo humo mambo muhimu kwenye ukurasa namba 786
Siku yakija ya kuja mnashangaa kumbe ipo kimkataba, mnaanza kulaumu mabeberu.
Hakikisha kila wiki unasoma kitabu kimoja au viwili, pia changia kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii, andika maana hamna kitu kitamu kama uandishi.
Njoo unikute kule Quora uone ninavyoatiririka.
Pwahahahaha!!!
Weka summary kijana, we have job to do. Ndiyo maana wakenya MNAKUFA KWA NJAA SABABU MUDA MREFU MNAUTUMIA KUANDIKA INSHA BADALA YA KUFANYA KAZI.

Niongeze volume!?
 
Alafu insha zenyewe Haziwezi make sense
Pwahahahaha!!!
Weka summary kijana, we have job to do. Ndiyo maana wakenya MNAKUFA KWA NJAA SABABU MUDA MREFU MNAUTUMIA KUANDIKA INSHA BADALA YA KUFANYA KAZI.

Niongeze volume!?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom