mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,251
Kweli hali imekuwa tete Kwa watumiaji wa mtandao wa Vida kutokana Na vifurushi vya intaneti kupunguzwa licha ya bei kuwa ile ile.Kifurushi cha sh. 1000 kilikuwa in Mb 500 lakini sasa in Mb 350 Na cha sh 500 kilikuwa Mb 150 sasa ni Mb 130 hakika mateso kila kona sijui watanzania maendeleo tutayapataje kama hata njia za mawasiliano zimebana.Haya watanzania shime tuchape Kazi.CCM oyeee